Msako wa kuingia robo fainali,nani Giant kibongobongo?

Jack Daniel

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
2,150
10,393
Mpira kwa hapa Tanzania umekuwa kwa kiwango fulani ambapo vilabu vyetu vikubwa hususani vilabu viwili yaani Simba na Yanga.

Kwanza tukiacha miaka ya huko nyuma nitaanzia kwenye misimu michache ya mwisho yaani kuanzia msimu wa 2016_2017

Timu ya Simba imefanikiwa kujiweka kwenye mazingira mazuri kunako michuano ya kimataifa kutokana na mwenendo wao mzuri jambo ambalo magiants wa soka wamekuwa wakiingia kwa tahadhari pindi wakikutana na hii klabu.

Ni historia nzuri sana Simba wameandika kwa miaka ya hivi karibuni huku ikijizolea mashabiki na wafuasi lukuki, na pengine pongezi zaidi ziende kwa wawekezaji wetu .
Maana mpira wa kisasa ni pesa.

Achilia mbali Simba kufungwa 5 goals na Yanga, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba kwasasa Simba ikifungwa si kwamba ni underdog sana ila ni sehemu tu ya matokeo matatu kwenye mpira.

Simba kutinga robo fainali kunako klabu bingwa si kitu kigeni tena pengine malengo yao ni kufika semi_final ama fainali jambo ambalo kwa klabu ya Simba linawezekana, kwasasa timu ya Simba ina kocha mpya ambaye ana CV kubwa, na huenda wachezaji walewale wanaobezwa kuwa ni wazee ama hawajitumi wakabadilika kulingana na mfumo na mbinu za mwalimu mpya na wakaingia robo kumbuka Simba last week alipata sare na Asec mimosa ila hakufungwa so ana nafasi kubwa.

Nikija kwa my favorite Klabu
Timu niliyoipenda tangu utotoni huku hata ikifanya vibaya nikiendelea kuisapoti na kuitetea kwa hali na mali

Ni misimu michache tu Emanuel Okwi aliyejizolea umaarufu akiwa na klabu ya simba huku akimpa Presha Nadir Haroub (Cannavaro) kila akikutana naye,huku akitunyanyasa wanajangwani huku kipigo cha goli tano kikisababisha niharibu simu yangu ya mtumba kutoka Japan kwa kuibamiza chini kisa tu hasira za kufungwa.

Yanga ilijitafuta chini ya uongozi wa Tajiri asiye na mambo mengi Yusuf Manji,haikujipata labda kwakuwa tajiri alipitia misukosuko fulani kipindi fulani huku kwenye ligi ya ndani akifanikiwa,japo wengi husema kitendo cha Mzee Akilimali (RIP) kuongoza genge la kumkataa Manji asikodishe timu mithili ya shamba la minazi ndipo Manji alivunjika moyo na kuamua kudili na mishe zake.

Wakati huo huo timu ikawa inajitafuta bado yaani ilikuwa haijaingia mjini au vijana wanasema haijatoboa,
Ni Yanga hii ambayo forward alikuwa Malimi Busungu just Imagine.
Achilia mbali Donald Ngoma na kiungo kamusoko wale ni mafundi,nazungumzia wazawa ,eti na Juma Mahadhi naye alikuwa forward wa kutegemewa kwenye timu na utitiri wa maforwad Sibomana,Moringa,Yikpe,Michael Sarpong na maajabu mengine,huku Andrew Visent akiwa beki wa kutegemewa Dah kila zama na kitabu chake.
Aisee tumetoka mbali.

Shukurani kwa Mwinyi Zahera Mkongoman aliyetokea kuipenda hii nchi kama mholanzi Hans Pluijim tu unaweza sema hawana kwao sema maisha popote na utafutaji ni popote.

Lakini ndani ya miaka minne Yanga imejipata,yes tena imefikia malengo kwa asilimia nyingi ikiwa chini ya watoto wa mjini na wenye nia ya dhati kifupi kuna kitu wanakitaka na watakipata hata kama siyo leo.

Yanga imeweza kumfunga US Monastir hapa,huenda lilikuwa jambo la kushangaza , Yanga hii iliyojipigia TP Mazembe home and away kama inacheza na KMC tu,ni Yanga hii ambao Klabu kubwa na yenye uwekezaji mzuri USM Algers tuliitoa jasho tukiwa kwao na tukakosa kombe kwa sheria ya goli la ugenini,
Nani wa kuibeza Yanga,
Yanga ilitoa sare na Al hilal mbabe wa Sudan,yes ni huyuhuyu kaifunga Esparence goli 3_1 jana tu hapa kunako Mkapa stadium.

Ni Yanga iliyocheza soka safi kwenye ngao ya jamii huku goli zote mbili zikikataliwa tukaja kufungwa kwenye matuta.

Ni Yanga hii ilianza ligi kwa kasi huku baadhi ya klabu zikila mkono ,kiasi cha baadhi ya mashabiki kudai tumeotea lakini tarehe tano tukapeleka msiba,mjini karikakoo kiasi cha kutafuta mchawi ,mara nani ajiuzulu mara nani afanyeje ili mradi bwawa limeingia ruba.

Sasa hii klabu ipo klabu bingwa ikiwa kwenye moja ya kundi gumu mno,lakini nasema tunaenda kuishangaza Afrika na Dunia kwa kuingia quarter final kibabe,

Mbona inawezekana?

Kwanini isiwezekane?

Mbona pale Algeria tumeupiga mwingi sema makosa ya kutoheshimu mpinzani yakatuumiza?

Yanga bado tuna nafasi,tunataka pointi 9 hapa nyumbani.iwe jua iwe mvua.

Viva Yanga
Viva GSM.
 
Umeandika yote somo japo ukweli ni kua tunabezwa Ila naiona Yanga ikiendelea kuunda timu tishio kila kunapokucha maana graph ya Yanga inapanda day after day ..

Kwangu ni fahari Sana kuona wazechani kama Max mpia Zengeli, Yao ohtuhola kwasi, Pacome ziozou na Aziz Ki wakicheza Yanga Kwa wakati mmoja hapo tuna kitu cha kusimulia aisee Kwa watoto wetu....

Ukiangalia kuanzio ujio wa kina Sarpong na Carlinho, then Mukoko na kisinda, kisha Mayele, Moloko, Djuma shabani, Bangala na Aucho... Utagundua Yanga haishuki Bali inapanda juu....

Mara ya Kwanza tulitolewa na Rivers Utd tukachekwa Sana lakini tulirudi na kua imara tukacheza Hadi Fainali ya kombe la shirikisho...

Round hii lengo letu lilikua kucheza group stage ya CAF champions League so hata kama tusipovuka kwenda quarter final, we have archived our mission... Msimu ujao tutafanya pakubwa zaidi..

Trust the process Yanga inaenda kua timu kubwa zaidi barani
 
Kwangu ni fahari Sana kuona wachezaji kama Max mpia Zengeli, Yao ohtuhola kwasi, Pacome ziozou na Aziz Ki wakicheza Yanga Kwa wakati mmoja hapo tuna kitu cha kusimulia aisee Kwa watoto wetu....

Kabisa mkuu hili lipo wazi
 
Back
Top Bottom