Yanga kufanya kufuru Afrika Mashariki...

Yanga wana eneo kubwa saana hapo, angalia mchoro huu hapa
 
Attachments

  • Uwanja wa Yanga 2.JPG
    Uwanja wa Yanga 2.JPG
    109.1 KB · Views: 92
Hela wanayo au wanategemea mfuko wa manji?

Unadhani wanategemea mfuko wa malkia wa nyuki aka mrs LIBOLO?..in short watu wabwabwaji type yako wapo tu siku zote na wataendelea kuwepo hata uwanja utakapo kabidhiwa na wakashuhudia bado wataendelea kubwabwaja tu...vp nasikia malkia wa nyuki anaongoza benchi la ufund kusajil wachezaji, kazi kweli kweli!!!
 
Wewe unafikiri kujenga uwanja wakisasa wa michezo ni sawa sawa na kujenga kioski au vile vibanda vya kufunika maduara ya uchimbaji madini kule nyarugusu na nyaruyeye?Hizi timu mbili kongwe ni za siku nyingi lakini hadi kumlipa kocha kama sio hao wafadhili akina manji na hao nyuki hakuna kitu.Hazina hela yoyote,Kumbuka kuna wakati huyo manji aliamua kuachia ngazi ukata ukazidi migogoro ya kumwaga mpaka wazee wakaenda kumpigia magoti.Acha ushabiki hali halisi unaifahamu
 
Ok! Inawezekana hayo unayosema yakawa ni ni kweli kwa hizi klabu mbili lakini pia acha kukariri kila siku ni jumapili soma alama za nyakatia, namaanisha kuwa mambo huwa yanabadilika kulingana na wakati sasa hivi YANGA chini ya uogozi uliopo madarakani wamedhamiria kufanya kitu kwa vitendo kuitoa yanga hapo ilipo kuipeleka mbele zaidi kwa maana ya kuleta maendeleo..na mipango inaonekana kabisa hata haihitaji degree kujua hilo tatizo mnaishi kwa historia sana au unaweza kusema ni "roho ya kwa nini"..u have to change start thinking beyound
 
Changa la macho hilo...?

Naona watu roho zinawauma kweli kweli ila bas tu hawana jinsi..mioyoni wanakubali ala midomoni wanapingana na ukweli roho za kwa nii zimewatawala..Kwani waturuki bado hawajamaliza kuchora ramani ya uwanja wa bunju? Au ndo zile zinazolipamba jukwaa la ssc,
 
Back
Top Bottom