Yanga kufanya kufuru Afrika Mashariki...

Yanga ndio habari ya mujini toa uwanja mikia wazidi kuumia hayo ndiyo maendeleo
 
Jamani pelekeni nje kidogo ya mji tukizidi kujaza madude mengi hapa City centre itafika mahala itatuwia vigumu watu kuendesha magari kwenye hivi vibarabara, ningali kuwa Serikali siwezi kutoa Building permit kufanya ujenzi wa Uwanja hapa katikati ya mji
 
Haujasikia kuwa RELI zinajengwa na yale MABASI ya KASI? kuwa MJINI NI BORA Haswa wengi wanatembea kwa MIGUU sio kwama wa AZAM shida haswa kufika huko... na ARDHI tunaya kubwa pale JANGWANI... ni kama Uwanja wa ARSENAL au TOTTENHAM
 
Mie ni Yanga damu lakini mpango huo naona kama ni kiini macho cha kutulaghai maana mosi eneo la kujenga uwanja huo hatuna kwani pale jangwani ni eneo dogo na finyu sana; na kwa sababu hiyo ulazima wa kuhamisha wakazi wa eneo la jangwani na bonde la jangwani ni lazima km mradi utatekelezwa. Na uhamishaji na ubomoaji makazi ni gharama za ziada ambazo sioni dalili kwa Yanga kuzimudu. Simba walianza ngonjera kama hizo za 'kujenga uwanja kule Bunju na Yanga tunaleta za Jangwani....Kuifikia Azam Kimaono ya mbali si jambo jepesi hasa kukiwa na viongozi na wanachama wababbaishaji, wachumia tumbo! I stand to be corrected!

Wachina Wamelipima na ARDHI na UDONGO UMEPIMWA Unaonekana Unafaa... Hiyo kampuni Imeujenga SOCCER CITY south Africa; Uwanja wa Taifa - Tusubiri Tuone... Patiency... SIMBA haikuwa na MKANDARASI na MICHORO
 
Yanga wakifanikiwa kuujenga huu Uwanja na kuukamilisha, basi nawatabiria kuwa Klabu tajiri ukanda wa Afrika Mashariki ndani ya miaka michache ijayo.
 
Mie ni Yanga damu lakini mpango huo naona kama ni kiini macho cha kutulaghai maana mosi eneo la kujenga uwanja huo hatuna kwani pale jangwani ni eneo dogo na finyu sana; na kwa sababu hiyo ulazima wa kuhamisha wakazi wa eneo la jangwani na bonde la jangwani ni lazima km mradi utatekelezwa. Na uhamishaji na ubomoaji makazi ni gharama za ziada ambazo sioni dalili kwa Yanga kuzimudu. Simba walianza ngonjera kama hizo za 'kujenga uwanja kule Bunju na Yanga tunaleta za Jangwani....Kuifikia Azam Kimaono ya mbali si jambo jepesi hasa kukiwa na viongozi na wanachama wababbaishaji, wachumia tumbo! I stand to be corrected!

40,000 seater stadium..pale kariakoo???ikijengwa ntanunulia vinywaji--iwe vileo au vitamu wajumbe wote watakaokuwa online jf siku iyoo..
Hizo ni ngonjera..hivi unajenga uwanja wa timu..hauna hata supporting facilities kama mini training pitches
za junior teams??always you start with the basics..training facilities for all teams seniors+juniors then unaongea habari izo..barca wana La Masia..its large training complex..Camp Nou ni stadium ya matches +events tuu..Azam pia,chamazi its a complex with more that 3 pitches,classes,gym etc..uwanja una 5000seats.kwani mabwege wale..??team ni structure like a proper high school..una classes,libraries,labaratories,art and music theatres,dining halls,PE piches,assembly ground..then exam rooms
Ni kama kutawaza kabla ya kuingia chooni..??its a joke..izo abracadabra wakaambie wajukuu zao!!

Shhiiiiit,...
 
Mbona jina lako linafanana na ile timu ya Angola? Alafu kama una kajazba hivi? yanga tuna watu makini na wapiganaji, huku Manji huku Binkleb katikati Ridhmoko lazima mtakubari tu.
 
hizi ni siasa za mpira wa bongo.hakuna kitu.kwa hizi timu zetu mpaka kuifikia azam kazi hipo sio maneno kibao azam walivyokuwa wanajenga hawakupiga makelele kama ya simba na yanga,mara bunju, mara jangwani fujo tu.watu wanazifanya timu za simba na yanga mahali pa kuchukulia ubunge.
 
Hela wanayo au wanategemea mfuko wa manji?
 
Hahahahhaahaha I see watu wanataka kutakatisha fedha haramu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mtaishia hivyo hivyo, leo kupigwa Libolo, kesho kuchaniwa nguo ya ndani na Enyimba....sisi haoooooo. Jitahidini mjenge angalau kabaya baya kama Chamazi na nyinyi
 
Hawana huo uwezo. Labda waanzilishi wa club wafufuke waujenge afu wafe tena. Kwa uongozi wa sasa hizo ni siasa.
 
Yanga chekeleeni hiyo michoro lakini pesa hamna. Sasa ndiyo mtamjua manji anavyo wanunua pamoja na asset zenu
 
Nadhani mawazo ya kizembe kama haya ndio yanayorudisha nyuma maendeleo ya soka letu. Kila mtu mjuaji, hoja za ajabu ajabu. Mnataka siasa kama za msomali? Penye nia njema pongezeni.
 
Kwa kuangalia tu picha za mchoro,Eneo la Yanga pale Jangwani ni dogo mno alitoshi,inabidi nyumba nyingi zibomolewe,pia kutokana na maji kuwa yanajaaga pale jangwani,hii project itakuwa ndoto
 
Back
Top Bottom