Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

Sijawahi skia Mechi ya Kirafiki ya Timu ya Taifa Vs Klabu. Kumbe labda mimi bado mchanga kwenye soka, eti Chelsea dhidi ya Timu ya Taifa la Poland😂😂😂
 
Sijawahi skia Mechi ya Kirafiki ya Timu ya Taifa Vs Klabu. Kumbe labda mimi bado mchanga kwenye soka, eti Chelsea dhidi ya Timu ya Taifa la Poland
Mkuu , historia inatafutwa kwa nguvu kwamba tuliwahi kuifunga timu ya taifa ya somalia 10 bila majibu
 
Back
Top Bottom