Sasa tushike lipi kata ya haya ya leo au la juzi? Mnajifanya mnajua kuichambua Yanga kumbe hamna kitu kichwani.Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu.
Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika ligi ya NBC ni kama ilibebwa kiaina mfano katika ile game ya Kagera Sugar ila "overall" hauwezi kubeza uwezo na kiwango ambacho wamekionyesha.
Naona kabisa hata kama wangepata ushindi mwembamba jana, Yanga ilikuwa na uwezo wa kwenda kulazimisha sare au hata ushindi katika mechi dhidi ya Al Ahly.
Huyo mjinga anajichekesha huku.Sasa tushike lipi kata ya haya ya leo au la juzi? Mnajifanya mnajua kuichambua Yanga kumbe hamna kitu kichwani.View attachment 2915979
Hahahahahaha hao jamaa ni taka taka kabisa..nyuzi wanaongoza kufungua nyuzi zinazokuja kuwasuta baadae..ni umbumbumbu unawasumbuaSasa tushike lipi kata ya haya ya leo au la juzi? Mnajifanya mnajua kuichambua Yanga kumbe hamna kitu kichwani.View attachment 2915979
Itapendeza sana kama Africa itaweza kushuhudia Kariakoo Derby katika hadhi na level ya mashindano ya CAF.Hadi Sasa Dar Young Africans Tunahitaji Kuongoza Kundi Kuna Team Tunaitafuta Maana Hiyo Team Hata Ikipambana Vipi Mwisho Wake Ni Kuwa Nafasi Ya Pili.
Kila La Kheri Dar Young Africans Jijini Cairo Tunapoenda Kumuangusha Al Ahly.
Huyu SAYVILLE ni wale jamaa darasani hua wanajikuta smart sana ila matokeo ya paper yakitoka unakuta kafaulu Kiswahili na Civics.Hapa ulitoa maneno yapi?View attachment 2915976
Madu hapo juu kakuonesha risiti yako, sema umepita kama kama unadaiwa vile.Itapendeza sana kama Africa itaweza kushuhudia Kariakoo Derby katika hadhi na level ya mashindano ya CAF.
Yupi huyo maana kuna watu ukiona siwajibu ujue nimewablock zamani sana. Kuna watu wanajisahau sana wanaongea bila adabu kwa hiyo dawa ni kuwapiga tu tofaliMadu hapo juu kakuonesha risiti yako, sema umepita kama kama unadaiwa vile.
Mkuu nakubali sana juhudi zako na naziunga mkono maana unagawa dozi murua kwa Makolo,kifupi hawa jamaa wiki yote hii hawapaswi kuwa na furaha wala kuishi kwa Amani humu kwa shombo walizo kuwa wanaongea .Hapa ulitoa maneno yapi?View attachment 2915976
Usijifanye haujaona Kula chuma hiyo chini Mpaka mseme...Yupi huyo maana kuna watu ukiona siwajibu ujue nimewablock zamani sana. Kuna watu wanajisahau sana wanaongea bila adabu kwa hiyo dawa ni kuwapiga tu tofali
Huyu jamaa alikuwa kiongozi wa kuandika pumba kabla ya mechi.Mmeanza kuungama dhambi zenu
Wanajifanya wanaijua sana Yanga, sasa jana wakafundishwa kuweka akiba ya maneno. Yaani walijikuta wao ni Mungu, waganga wa kienyeji, wapiga ramli na makocha wanayoijua Yanga kuliko.Mkuu nakubali sana juhudi zako na naziunga mkono maana unagawa dozi murua kwa Makolo,kifupi hawa jamaa wiki yote hii hawapaswi kuwa na furaha wala kuishi kwa Amani humu kwa shombo walizo kuwa wanaongea .
Wape risiti zao piga kazi mkuu mpaka Makolo wawe Mazuzu , anko wake Shadeeya Mwasibu OKW BOBAN SUNZU mpaka sasa hatujui Yuko wapi na ataibuka lini na bado siku Mwasibu akijirogo kuja kucheki Hali ya hewa humu asiachwe bila kukutanishwa na Dozi inayoendelea humu.
Si tulishakubaliana kwamba robofainali siyo mafanikio?Mkuu nakubali sana juhudi zako na naziunga mkono maana unagawa dozi murua kwa Makolo,kifupi hawa jamaa wiki yote hii hawapaswi kuwa na furaha wala kuishi kwa Amani humu kwa shombo walizo kuwa wanaongea .
Wape risiti zao piga kazi mkuu mpaka Makolo wawe Mazuzu , anko wake Shadeeya Mwasibu OKW BOBAN SUNZU mpaka sasa hatujui Yuko wapi na ataibuka lini na bado siku Mwasibu akijirogo kuja kucheki Hali ya hewa humu asiachwe bila kukutanishwa na Dozi inayoendelea humu.
Huyu hapa hater baada ya kuidharau Yanga kwa kila aina ya dhihaka,Yanga ikamuumbua.Wanajifanya wanaijua sana Yanga, sasa jana wakafundishwa kuweka akiba ya maneno. Yaani walijikuta wao ni Mungu, waganga wa kienyeji, wapiga ramli na makocha wanayoijua Yanga kuliko.
Sasa jana ngoja comment moja ya mechi ya mkuu wao wa kamati ya roho mbaya akisema Yanga imejua kumshangaza. Ngoja niitafute ile risiti yake niiweke hapa. Yani mtu anaapa kabisa kwamba kitu fulani hakiwezekani unajiuliza huyu mtu mpira kaujulia juzi juzi nini?. Yanga kutoa sare Cairo ni sawa na kuvaa boksa unavuka maji huku pumbu zisiloe. Haya ni maneno sio ya mtu anayejua mpira sawa sawa. Sasa kilichotokea jana atakaa atafikiria kilichofanyika ni kigumu zaidi ya hilo alilojiapiza nalo