Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Tulitoshana nguvu,ikabdi mechi iamuliwe kwa kamari!
Kwani nani anabisha hilo? Linalobishaniwa ni kwamba kutoshana nguvu huko kumetokana na Simba kutokuwa na wachezaji wake wa kutegemewa. Hilo halikubaliki kwa sababu hata na Yanga pia hawakuwa na wachezaji wao tegemez. Hiyo ndiyo hoja. Kwamba Simba wasisingizie kutoshinda mechi hiyo kwa sababu eti haikuwa na wachezaji wake muhimu. Maana hata hao wote wangekuwapo isingewezekana wote kucheza sambamba na wa kikosi cha kwanza wenzao waliocheza siku hiyo.
 
Na hii dhana kwamba penalti ni kamarI, penalti haina mwenyewe, ni kwa wasioelewa maana ya uwezo wa timu. Kupigiana penalti ni kamari kwa walioshtukizwa na mtindo huo kwa mara ya kwanza duniani. Tangu hapo imekuwa ni sehemu muhimu ya ufundi wa timu. Makocha wa makipa wameweka mafunzo mahsusi ya kuwaandaa wachezaji wao na hali hiyo. Makocha wakuu wana sehemu maalum ya kufundisha upigaji penalti hizo. Watakwimu wanasoma takwimu zote za makipa wa upinzani wanavyodaka penalti zao, na za wapigaji wanavyofunga penalti zao kabla ya mechi inayoweza kuamuliwa kwa penalti. Unapofika wakati wa kupigiana penalti wachezaji wao huzitumia takwimu hizo katika upigaji ama udakaji wao. Wanasaikolojia ndani ya bench la ufundi huwafundisha wachezaji wao namna ya kujiweka sawa kiakili kabla ya kupiga penalti. Kwa hivyo wachezaji kushindwa kutekeleza maelekezo hayo wakati wa upigaji ni sawa na kushindwa kufuata maelekezo ya ndani ya dakika 90. Penalti inakuwa kamarI, inakuwa haina mwenyewe, kwa timu ambazo mpaka unafikia muda wa kuzipiga hakukuwa na maelekezo yoyote kwa wachezaji, mara nyengine hata hawakuwa wameandaliwa, kupiga hizo penalti. Kwa hivyo kiuhalisia, penalti si kamari. Penalti zina wenyewe.
 
Noted,kikubwa inabidi haya mashindano ya Mapinduzi Cup yaongezewe thamani!Tofauti na hapo yataendelea kudharauliwa na hizi timu kubwa!Haiwezekani mashindano hayo yanakuwa hayazingatii kanuni,mfano unachezesha timu siku mbili mfululizo!Vilabu vikubwa haviwezi kukubali kutesa wachezaji wao!Sana sana itakuwa sehemu ya kujaribia wachezaji wao wa akiba!
Pili,suala la fedha liangaliwe!Kuna mtu kasema mshindi anapata zawadi sawa na mshahara wa Chama!Sasa kwa hali hiyo nani atakuwa serious na mashindano?
Yaani mil 15 unakuta ni kidogo ukilinganisha na gharama timu iliyotumia kuwa Zanzibar!
Kiufupi mechi ya fainali haikuwa na ladha kabisaaa!
 
Na hii dhana kwamba penalti ni kamarI, penalti haina mwenyewe, ni kwa wasioelewa maana ya uwezo wa timu. Kupigiana penalti ni kamari kwa walioshtukizwa na mtindo huo kwa mara ya kwanza duniani. Tangu hapo imekuwa ni sehemu muhimu ya ufundi wa timu. Makocha wa makipa wameweka mafunzo mahsusi ya kuwaandaa wachezaji wao na hali hiyo. Makocha wakuu wana sehemu maalum ya kufundisha upigaji penalti hizo. Watakwimu wanasoma takwimu zote za makipa wa upinzani wanavyodaka penalti zao, na za wapigaji wanavyofunga penalti zao kabla ya mechi inayoweza kuamuliwa kwa penalti. Unapofika wakati wa kupigiana penalti wachezaji wao huzitumia takwimu hizo katika upigaji ama udakaji wao. Wanasaikolojia ndani ya bench la ufundi huwafundisha wachezaji wao namna ya kujiweka sawa kiakili kabla ya kupiga penalti. Kwa hivyo wachezaji kushindwa kutekeleza maelekezo hayo wakati wa upigaji ni sawa na kushindwa kufuata maelekezo ya ndani ya dakika 90. Penalti inakuwa kamarI, inakuwa haina mwenyewe, kwa timu ambazo mpaka unafikia muda wa kuzipiga hakukuwa na maelekezo yoyote kwa wachezaji, mara nyengine hata hawakuwa wameandaliwa, kupiga hizo penalti. Kwa hivyo kiuhalisia, penalti si kamari. Penalti zina wenyewe.
Akicheza Yanga vs Real madrid dk 90,obvious mtu unajua matokeo!No pressure!
Ila yakiwekwa matuta Yanga vs Real madrid,mikwaju mitano mitano na ndoo iko mezani,kila mtu atakuwa na pressure maana penalty hazitabiriki!

Zamani mlikuwa mkimaliza wachezaji wote 11 kupiga penalty,halafu bado mkalingana,mechi ilikuwa inaamuliwa kwa kurusha shilingi!
 
Issue ni kuwa upigaji penalti tanotano ni kubahatisha, lolote linaweza kutokea. Kwa hivyo ni kamari, hazina mwenyewe hata kama ni baada ya dakika 120. Mimi sikubaliani na hilo kwa sababu upiganianaji penalti kuamua mshindi umeanza zamani na ni sehemu ya mchezo wenyewe. Tatizo ni kwamba sisi tunaodhania hivyo tunasahau kwamba kinachotokea ndani ya penalti hizo tano kinaamua matokeo ya mchezo wote.

Ushahidi wa imani hiyo potofu ni kwenye mechi ile ya fainali mchezaji bora kutangazwa kabla penalti hazijapigwa, wakati kigezo kikuu cha uchezaji bora ni jinsi mchezaji alivyoisaidia timu yake kushinda pambano. Hatimaye mchezaji aliyekwishazawadiwa kwa mchango mkubwa kwa timu yake kushinda pambano ndiye aliyetoa mchango mkubwa kwa timu yake kupoteza pambano baada ya kukosa penalti! Yote ni kwa hii imani kwamba kupigiana penalti si sehemu ya pambano!

Kwa hivyo kitakwimu anayeshinda penalti tano anahesabiwa ameshinda mchezo mzima. Na takwimu hadi za kwenye viwango vya FIFA zinazingatia uwezo huo. Kwa mfano, Yanga ingefungwa penalti zile, ingetafsirika kwa usahihi kabisa, kwamba rekodi yake ya kutofungwa msimu huu imeisha. Na ungekuwa ni upuuzi kubisha hilo eti kwa sababu rekodi imevunjwa kwa njia ya kupigiana matuta.

Kwa kulijuwa hilo, timu zilizoendelea zinazingatia upigaji penalti sawa na zinavyozingatia vipengele vinginevyo vya ufundi : kona, set pieces, defence, attack, possession, n.k. Mpaka ikitokea siku ya kupigiana penalti, timu inakuwa imeshajitayarisha. Inajua ni akina nani wataopiga, na kila mpigaji anajua kipa ana udhaifu upande gani, n.k. Kwa hivyo kweli ni kitu cha kubahatisha, lakini hata ushindi wa ndani ya dakika 90 unategemea bahati pia. Kwa hivyo ukamari au kutokuwa na mwenyewe kwa maana ya kutegemea bahati ni kwa mechi nzima, si kwa kupigiana penalti tu.
 
Kwenye record za mechi,hiyo ni sare!Ndio maana hata kwenye ufungaji bora,magoli ya mikwaju ya penalty kama hizo hayahesabiwi,penalty zinazohesabiwa ni zile za ndani ya mchezo!Penalty shoot out ni namna tu ya kupata mshindi kwani inakuwa lazima mshindi apatikane!So huwezi kumnyima mtu uchezaji bora wa mchezo kisa kakosa hiyo mikwaju ya penalty,ni kama ambayo huwezi kumpa mtu ufungaji bora kwa kuhesabu na hizo penalty baada ya dk 90 au 120 za uwanjani!
 
Unasahau kwamba michezo inayoamuliwa hivyo huwa ni ya mtoano, kwa hivyo swala la pointi na magoli ya kufunga dhidi ya kufungwa huwa halihusiki. Anayeshindwa kwenye changamoto ya penalti huwa ameshindwa, ametolewa, haendelei tena. Aliyeshinda anaenda hatua inayofuata au kama ameshinda kwenye hatua ya mwisho anakuwa ndiye bingwa. Sasa pointi za nini hapo?
 
Nasemaje,hata mfungaji bora hayo magoli huwa hayahesabiwi!Ndio maana hata ukiangalia matokeo wanaandika matokeo ya dk za mchezoni kama Full time 0-0 au 2-2 halafu kwa chini ndio wanasema nani kaendelea kwa penalty kadhaa dhidi ya kadhaa!
Penalty ni kama kamari!Hivi unajua goal keepers hupanga waruke kushoto au kulia kabla hata mpigaji hajapiga!Na goal keeper bora ni yule mwenye bahati ya kutabiri vema aruke wapi!
Penalty shoot out ni kama kurusha shilingi juu halafu timu moja ichague kichwa na nyingine ngao!
 
Yanga walikua na wachezaji wao wote tegemezi full ngwamba,wakati Simba mashine muhimu zote azikuwepo.
Chama.
Luis.
Boko.
Shabalala.
Kapombe.
Nyoni.
Wawa.
Bwalya.
Benchi la ufundi la Simba awakutolea macho hii fainali kwasababu mbele kuna big deal zaidi ya hii fainali ya milioni kumi ya mashindano ya visiwani.
Mtecha
Mwamnyeto
yasain
Lamine
Feisal
Kaseke
Farid
Nchimbi
 
Nasemaje,hata mfungaji bora hayo magoli huwa hayahesabiwi!Ndio maana hata ukiangalia matokeo wanaandika matokeo ya dk za mchezoni kama Full time 0-0 au 2-2 halafu kwa chini ndio wanasema nani kaendelea kwa penalty kadhaa dhidi ya kadhaa!
Penalty ni kama kamari!Hivi unajua goal keepers hupanga waruke kushoto au kulia kabla hata mpigaji hajapiga!Na goal keeper bora ni yule mwenye bahati ya kutabiri vema aruke wapi!
Penalty shoot out ni kama kurusha shilingi juu halafu timu moja ichague kichwa na nyingine ngao!
Kwa hivyo Brazil imechukua Kombe la Dinua mara nne tu kwa kuwa kwenye mashindano ya USA ilichukua kwa changamoto ya mikwaju ya penalti? Kwa hivyo kwenye ranking ya FIFFA ya mwezi huo na karibu mwaka mzima uliofuata haikuwa ya kwanza duniani kwa sababu imeshinda kwa mikwaju ya penalti? Kwa hiyo kukosa penalti kwa Roberto Baggio hakukuathiri nafasi yake ya uchezaji bora wa dunia kwa sababu penalti alyokosa ni ya baada ya dakika 120?
Hiyo ya golikipa aruke wapi ni kwenu nyinyi mnaodhani kwamba kupigiana penalti ni kamari. Angalia kwenye mashindano makubwa wakati ikipigwa penalti utaona alama zinazoonesha penalti tano za mwisho mpigaji alifungia wapi na alikosea wapi. Unadhani ni urembo tu? Hapana. Ni kiashiria kwamba watu serious kwenye soka huchukulia penalti seriously kwa sababu wanajua ni sehemu ya mchezo. Kupata au kukosa baada ya kufuata maelekezo ya mwalimu hakuko kwenye penalti tu. Hata ndani ya mchezo wa kawaida bahati ina nafasi yake. Zico alikosa penalti ndani ya muda wa kawaida wa mchezo na timu yake ikatolewa 3-2 kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia 1982. Na ni mechi ambayo Brazil iliitawala kwa kiasi kikubwa mpaka ikamsababishia Pelé kuja na ule memo maarufu hadi leo ‘siku ya kufa nyani miti yote huteleza’ Kwa maana kwamba hata ndani ya dakika 90 mechi huwa haina mwenyewe.
 
Back
Top Bottom