Leo kulikuwa na maandamano ya wazee wa yanga yaliyozuiwa na serikali wakipinga kukatazwa kujenga football complex pale kwenye jengo lao jangwani kiongozi alikuwa mzee Akilimali
Hebu acheni hizo pale mahali hapatoshi kujenga complex yenye hadhi ya kimataifa labda kama mnataka kujenga uwanja mdogo wa mazoezi
Tafuteni eneo kubwa mjenge kitu cha maana halafu mji umeshajaa ule tanueni panueni mji pelekeni vitu kama hivyo nje ya mji si kila kitu kiwepo mjini
Igeni mfano wa Azam
Hahahahahaaaa watu8 au 6+2 sikujua kaa wewe ni mtani jembe
Maandamano ya YANGA hayakua kupinga kuzuiwa kujengwa kwa uwanja,jaribu kua mfuatiliaji kidogo kabla ya kukurupuka na kuandika kile unachojisikia,maandamano yalikua ya kushinikiza kupata majibu ya maombi ya YANGA toka serikalini,majibu yanaweza kua kukubaliwa ama kukataliwa,inaonekana YANGA inawanyima usingizi sana MIKIA.
Mtabaki mnasubiria kupewa vya bure hadi miaka 50 bila mafanikio wauza sembe yanga kama nyinyi mnaela muwanunue waliopo na mjenge kile mnachotaka? Viongozi wa yanga kama mazuzu. Ww unaanda ujenzi wa nyumba huna hata uwanja? Kama sio ujinga nn
Leo mnauawa..Maneno meeeengi waacheni young wafanye yao,ubbngwa kama kawa. saba saba ndio mpango.
Mtabaki mnasubiria kupewa vya bure hadi miaka 50 bila mafanikio wauza sembe yanga kama nyinyi mnaela muwanunue waliopo na mjenge kile mnachotaka? Viongozi wa yanga kama mazuzu. Ww unaanda ujenzi wa nyumba huna hata uwanja? Kama sio ujinga nn
Angalieni hizo silaha msije mkauana !!! Si unajua matokeo ya mechi ya leo !?rejea maneno ya mwenyekiti wenu lakin pia mtasumbuka sana na YANGA YETU,hakuna mechi ya nje ya uwanja ambayo mikia mmewahi kuifunga ama kuishinda YANGA,hata hili la uwanja tutawapiga bao tu,ni suala la mda na UWANJA utajengwa!,upembuzi yakinifu ushafanyika na mkandarasi yupo tayari,hatusubiri kuhamsishana kwa mapanga,nondo sululu,shoka,sindano tujenge kama nyie na bunju yenu.
Na ndiyo maana watapa kibali cha kujenga kiwanja pale jangwani na nyinyi mnaowakejeli kuwa wa kwanza kwenda uwanjani hapo.
Kwa taarifa yenu yanga ilipanga kujenga uwanja mzuri pale jangwani karibu miaka 30 iliyopita lakini tatizo kubwa ni kwamba migogoro ambayo imekuwa ikiathiri utendaji wake na viongozi wakitumia muda mwingi kulumbana/kugombana.