tatizo la yanga wao wakitaka jambo lao wanataka lifanyike..kwann wasiende bunju au kibahs huko..wso bdo wanataka kuleta msongamano town
MiYanga haina tofauti na MiCCM.
bahati yako ni hii kwaresma. Ningekutukana wewe.
nilikuwa sijui matusi yanaruhusiwa baada ya kwaresma
Binadamu wamefikia hatua ya kumpangia Mungu ratiba ya kumtendea wema na ubaya. Bahati mbaya kwa Mungu ni kuwa mema amepangiwa ratiba fupi sana. Mwezi mmoja kati ya miezi 12 aliyoitengeneza mwenyewe.
Laiti ningekuwa Mungu......
Na ndiyo maana watapa kibali cha kujenga kiwanja pale jangwani na nyinyi mnaowakejeli kuwa wa kwanza kwenda uwanjani hapo.MiYanga haina tofauti na MiCCM.
Leo kulikuwa na maandamano ya wazee wa yanga yaliyozuiwa na serikali wakipinga kukatazwa kujenga football complex pale kwenye jengo lao jangwani kiongozi alikuwa mzee Akilimali
Hebu acheni hizo pale mahali hapatoshi kujenga complex yenye hadhi ya kimataifa labda kama mnataka kujenga uwanja mdogo wa mazoezi
Tafuteni eneo kubwa mjenge kitu cha maana halafu mji umeshajaa ule tanueni panueni mji pelekeni vitu kama hivyo nje ya mji si kila kitu kiwepo mjini
Igeni mfano wa Azam
binadamu wamefikia hatua ya kumpangia mungu ratiba ya kumtendea wema na ubaya. Bahati mbaya kwa mungu ni kuwa mema amepangiwa ratiba fupi sana. Mwezi mmoja kati ya miezi 12 aliyoitengeneza mwenyewe.
laiti ningekuwa mungu......
Una uhakika kuwa hili : panatosha kufanya ujenzi, lakini Mr Mshana Jr anaona hapatoshi...heheheh
Yanga ni Yanga na Azam ni Azam...huko nje ya mji waache wafyeka vichaka Simba waende huko kusaka nyoka
Na ole wenu tukijenga uwanja wetu mje kung'oa viti kama mlivyozoea kung'oa visiki huko Bunju kama wang'oa kucha
Hahahahahaaaa watu8 au 6+2 sikujua kaa wewe ni mtani jembeUna uhakika kuwa hili ndilo dai kuu la malalamiko ya baraza la wazee wa Yanga?
Wahandisi ujenzi waliobobea katika kazi yao wameona panatosha kufanya ujenzi, lakini Mr Mshana Jr anaona hapatoshi...heheheh
Yanga ni Yanga na Azam ni Azam...huko nje ya mji waache wafyeka vichaka Simba waende huko kusaka nyoka
Na ole wenu tukijenga uwanja wetu mje kung'oa viti kama mlivyozoea kung'oa visiki huko Bunju kama wang'oa kucha
Abunuwasi my bro you must be kidding !!!miaka thelathini ya mipango lakini tatizo ni migogoro Omg !!!Na ndiyo maana watapa kibali cha kujenga kiwanja pale jangwani na nyinyi mnaowakejeli kuwa wa kwanza kwenda uwanjani hapo.
Kwa taarifa yenu yanga ilipanga kujenga uwanja mzuri pale jangwani karibu miaka 30 iliyopita lakini tatizo kubwa ni kwamba migogoro ambayo imekuwa ikiathiri utendaji wake na viongozi wakitumia muda mwingi kulumbana/kugombana.
How long does it take a tortoise to 10 miles?Abunuwasi my bro you must be kidding !!!miaka thelathini ya mipango lakini tatizo ni migogoro Omg !!!