Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,535
- 11,744
Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia...
Yanga tumejipanga hasa msimu huu kuchukua Makombe yote. Na nasema hapa tusipochukua Kombe nipigwe Ban ya Mwezi mzima. Sioni wa kutuzuia. Sioni. Nasema sion. Hii match tunashinda na nyingine zote zifuatazo tutatembeza dose kishenzi.
Haitatokea Yanga kutoa Draw na Dodoma Mji au Kufungwa. Haitotokea. Nasema haitotokea.ikitokea mimi natembea bila kinga...LIWALO NA LIWE.