kajima
JF-Expert Member
- Dec 5, 2009
- 1,289
- 513
Vikwazo vinaharibu uchumi wa Zimbabwe (hao wanaoandamana ni sbb ya vyuma) na kuathiri kwa kiasi fulani nchi za SADC ni mjinga tu atakayetumia karata ya utawala bora kusema waendelee kuumizwa huku akikosa darasa namna ambavyo mabeberu hutumia karata hiyo kutimiza malengo yao. Tujifunze kidogo ktk historia na tufikiri kwa kina.