Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,692
- 26,203
Akili za hawa makamanda wanazijua wenyewe.Ndio kina nyinyi sasa mnaotaka wazungu warudishwe Zimbabwe.
Akili za hawa makamanda wanazijua wenyewe.Ndio kina nyinyi sasa mnaotaka wazungu warudishwe Zimbabwe.
Ndo mtaji wanaojivunia kina ZZK.Akili za hawa makamanda wanazijua wenyewe.
Kama tatizo ni wazungu, mbona SA hawakuwa ondoa na maisha ya kiuchumi hayajawa kama Zimbabwe? Sio suala LA kufukuzana au kutaifisha linaloweza kutengeneza uchumi. Ni mipango safi tuu.Ndio kina nyinyi sasa mnaotaka wazungu warudishwe Zimbabwe.
Tena spidi yetu ni Kali zaidi!Anavyotukuzwa Na kukwezwa jpm ndivyo ilivyokuwa Kwa wapambe wa Mugabe mpaka akaitumbukiza nchi shimoni na sisi ndiko tunakoelekea
Pole Sana.Kama tatizo ni wazungu, mbona SA hawakuwa ondoa na maisha ya kiuchumi hayajawa kama Zimbabwe? Sio suala LA kufukuzana au kutaifisha linaloweza kutengeneza uchumi. Ni mipango safi tuu.
Watu wengi huwa hawaelewi hayo uliyosema, ni ukweli usiofichika kwamba zimbabwe ya enzi zile za wakulima wazungu ilikuwa bora kuliko ilivyokuwa baada ya kuwafukuza hao walioitwa walowezi, hata huyu rais wenu (meko) ndiko anataka kutupelekaKuirudisha Zimbabwe ile sio leo wala kesho mana Rais wao muda utaisha na ataondoka bila kufanya chochote,so waendelee kula matunda waliyomchekea mugabe kipind anawafukuza weupe
Maisha ni haya tuliyonayo hakuna mengineNitakula muhogo wa uhuru sio mkate wa masimango.
MAGUFULI4LIFE
Mbowe hatawali anaongoza chama,tofautisha kutawala na kuongozaUtakua unamsema Sultani Mbowe wewe
Hayo ni mawazo ya kimasikini 100% ni kum judge mtu kabla huja mjuaViongozi wa Afrika wanafanana.
Hata upinzani uingie madarakani bado watakuwa sawa na watawala.
Hamtaki kabisa kuguswaMbowe hatawali anaongoza chama,tofautisha kutawala na kuongoza
Kama prefect wa darasani tofauti na mwalimu mkuu maana inatokea oders kutoka kwa walimu. Tofauti na mwalimu mkuu yeye anatoa orders kwa wote na prefect anaweza kupewa adhabu yeye ni boss wa kipindi kidogo yaani darasa lake.
Mfano nzuri ni kwamba Mbowe angekuwa utawala asingewekwa mahabusu miezi yote.
Mtawala hashitakiwa na zile nchi wenye sheria inayoruhusu kushitakiwa kwanza kabla hawana mshitaki huwa wanajua kinga, yaani wanajua utawala ndiyo wamsimamishe kizimbani.
Sasa kama mbowe anaweza mpaka kufungwa huwezi kuwafananisha na mtawala ni kiongozi wa kikundi kinavho dai haki. Na kawaida mkiwa vitani kama kila siku bila sababu yoyote mnabafilisha kiongozi kisa tu chama utawala kinataka huko serious.
Vyama vingi tulivyo kuwa vina fight for freedom havikubadilisha kiongozi mpaka vimefanikiwa kuingia madarakani, au kiongozi ajiuzulu au afe.
Hamtaki kabisa kuguswa