Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,867
Serikali ya Marekani imesema inaendelea kusikitishwa na hali mbaya inayozidi kuongezeka nchini Zimbabwe juu ya ukandamizwaji wa upinzani unaofanywa na vyombo vya dola.
Licha ya Marekani kuitaka serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kubadili sheria kadhaa ili kuboresha mahusiano ya nchi hizo mbili kidiplomasia, Serikali bado haijachukua hatua zozote.
Wiki iliyopita serikali ya Mnangagwa ilipiga marufuku aina yoyote ya mikusanyiko na maandamano iliyokua inaratibiwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC.
Licha ya kua kwenye shinikizo kali, serikali ya Mnangagwa inakabiliwa na tishio la maandamo kutoka kwa madaktari wanao taka ongezeko la mishahara.
Polisi wanatajwa kutetea chama tawala na kunyanyasa upinzani. #KwanzaHabari