Yanayotokea Tanzania: Dola inafuata nyayo za Ethiopia!

Kila kinachoendelea hakuna jipya ila ni maigizo ya bonge ya movie ya huko Ethiopia.

CCM wangependa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi ufanye kazi kwa sharti moja tu uwaimarishe wao vinginevyo nchi ibaki ni ya demokrasia ya vyama vingi kwenye makabrasha tu: In Ethiopia, a Cautionary Tale for Tanzanian Democracy Activists

Ethiopia kabla ya 2005, walijaribu kupanua wigo la demokrasia lakini wakajikuta wanamwagwa na ala zao.

Kilichofuatia demokrasia ikatiwa mfukoni na faulo zilirindima kila kona: mauaji, kesi za kubambikiziwa, NGO kufutwa, vyama vya upinzani mfukoni n.k

Hatua hizi zilikihakikishia chama tawala kushinda viti vyote vya ubunge na udiwani miaka 10 iliyofuata. Siyo kwa kukubalika kwenye boksi la kura bali kwa ubabe tu!

Nionavyo

1) Uchaguzi wa 2020, hakuna mbunge hata mmoja wa upinzani kurudi bungeni.

2) Kutokana na hizi faulo na kauli za Jaji Mkuu tutegemee kama Ethiopia Mahakama kushughulikia na wapinzani.

3) Baada ya 2020, katiba kubadilishwa na kufuta ukomo wa Urais na kuongeza muda wa mihula kutoka 5 hadi 7.

4) Wapinzani wengi aidha kuuawa na wasiojulikana au kutiwa lupango.

5) Fungu la wafadhili kutoweka na kuleta msukumo wa kupandisha na kupanua wigo LA kodi kutafuta pesa ya kuwalinda walaji wachache wasiwageuke.

6). Uchumi kuporomoka na maisha kuwa magumu mno.

7) Kipimo cha ugumu wa maisha ni vijana wengi kukimbia nchi kama Ethiopia na Zimbabwe.

8). Uongozi uliopo wa upinzani kutinduliwa kwa wananchi kukosa imani nao au kuwa jela au makaburini.

9) Ndani ya CCM ya baada ya 2020 kugawanyika kutokana na ugumu wa maisha na mkate kuliwa na wachache.

10) Tegemea kama Ethiopia na Zimbabwe upinzani wa nguvu kuibuka ndani ya CCM siyo upinzani.
Aisee hebu jifiche kwenye lori linalokwenda bondeni kwa madiba ukaombe ukimbizi. Hapo nitakuelewa na sio kubwabwaja hapa mtandaoni kila kukicha. Unatupotezea muda wetu kusoma vijimada vyako hafifu.
 
You do not call a person created by God, elected by people, a devil. Umekosea, jitathmini.
Devil himself is God's creation. Though, Magufuli aint a devil, is a devil wannabe! Also known as bipolar dickteta!
 
U
Kila kinachoendelea hakuna jipya ila ni maigizo ya bonge ya movie ya huko Ethiopia.

CCM wangependa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi ufanye kazi kwa sharti moja tu uwaimarishe wao vinginevyo nchi ibaki ni ya demokrasia ya vyama vingi kwenye makabrasha tu: In Ethiopia, a Cautionary Tale for Tanzanian Democracy Activists

Ethiopia kabla ya 2005, walijaribu kupanua wigo la demokrasia lakini wakajikuta wanamwagwa na ala zao.

Kilichofuatia demokrasia ikatiwa mfukoni na faulo zilirindima kila kona: mauaji, kesi za kubambikiziwa, NGO kufutwa, vyama vya upinzani mfukoni n.k

Hatua hizi zilikihakikishia chama tawala kushinda viti vyote vya ubunge na udiwani miaka 10 iliyofuata. Siyo kwa kukubalika kwenye boksi la kura bali kwa ubabe tu!

Nionavyo

1) Uchaguzi wa 2020, hakuna mbunge hata mmoja wa upinzani kurudi bungeni.

2) Kutokana na hizi faulo na kauli za Jaji Mkuu tutegemee kama Ethiopia Mahakama kushughulikia na wapinzani.

3) Baada ya 2020, katiba kubadilishwa na kufuta ukomo wa Urais na kuongeza muda wa mihula kutoka 5 hadi 7.

4) Wapinzani wengi aidha kuuawa na wasiojulikana au kutiwa lupango.

5) Fungu la wafadhili kutoweka na kuleta msukumo wa kupandisha na kupanua wigo LA kodi kutafuta pesa ya kuwalinda walaji wachache wasiwageuke.

6). Uchumi kuporomoka na maisha kuwa magumu mno.

7) Kipimo cha ugumu wa maisha ni vijana wengi kukimbia nchi kama Ethiopia na Zimbabwe.

8). Uongozi uliopo wa upinzani kutinduliwa kwa wananchi kukosa imani nao au kuwa jela au makaburini.

9) Ndani ya CCM ya baada ya 2020 kugawanyika kutokana na ugumu wa maisha na mkate kuliwa na wachache.

10) Tegemea kama Ethiopia na Zimbabwe upinzani wa nguvu kuibuka ndani ya CCM siyo upinzani.
Utabiri....
 
Devil himself is God's creation. Though, Magufuli aint a devil, is a devil wannabe! Also known as bipolar dickteta!
Leo mmeamua kuangusha king'en'ge chenu cha ugoko baada kuufyata na mkwara wa afande Muroto, ha ha ha.
 
Kila kinachoendelea hakuna jipya ila ni maigizo ya bonge ya movie ya huko Ethiopia.

CCM wangependa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi ufanye kazi kwa sharti moja tu uwaimarishe wao vinginevyo nchi ibaki ni ya demokrasia ya vyama vingi kwenye makabrasha tu: In Ethiopia, a Cautionary Tale for Tanzanian Democracy Activists

Ethiopia kabla ya 2005, walijaribu kupanua wigo la demokrasia lakini wakajikuta wanamwagwa na ala zao.

Kilichofuatia demokrasia ikatiwa mfukoni na faulo zilirindima kila kona: mauaji, kesi za kubambikiziwa, NGO kufutwa, vyama vya upinzani mfukoni n.k

Hatua hizi zilikihakikishia chama tawala kushinda viti vyote vya ubunge na udiwani miaka 10 iliyofuata. Siyo kwa kukubalika kwenye boksi la kura bali kwa ubabe tu!

Nionavyo

1) Uchaguzi wa 2020, hakuna mbunge hata mmoja wa upinzani kurudi bungeni.

2) Kutokana na hizi faulo na kauli za Jaji Mkuu tutegemee kama Ethiopia Mahakama kushughulikia na wapinzani.

3) Baada ya 2020, katiba kubadilishwa na kufuta ukomo wa Urais na kuongeza muda wa mihula kutoka 5 hadi 7.

4) Wapinzani wengi aidha kuuawa na wasiojulikana au kutiwa lupango.

5) Fungu la wafadhili kutoweka na kuleta msukumo wa kupandisha na kupanua wigo LA kodi kutafuta pesa ya kuwalinda walaji wachache wasiwageuke.

6). Uchumi kuporomoka na maisha kuwa magumu mno.

7) Kipimo cha ugumu wa maisha ni vijana wengi kukimbia nchi kama Ethiopia na Zimbabwe.

8). Uongozi uliopo wa upinzani kutinduliwa kwa wananchi kukosa imani nao au kuwa jela au makaburini.

9) Ndani ya CCM ya baada ya 2020 kugawanyika kutokana na ugumu wa maisha na mkate kuliwa na wachache.

10) Tegemea kama Ethiopia na Zimbabwe upinzani wa nguvu kuibuka ndani ya CCM siyo upinzani.
Jicho pevu. Umeona sawa. Nawaonea huruma na kuwapa pole watoto na watoto wao. Hawa, hawataiona na kuifaidi Tanzania!
 
Wakati huo Ukifika wewe utapanda humu na ID nyingine wakati huo ukiiponda CCM vibaya. Pigo linakujia na utakuja jutia huu upuuzi unaosifia now
Sasa member wote humu tukiwa na mawazo sawa ya kumsifia mbowe na mange jukwaa si lita freeze.
 
2020 ndani ya chama changu CCM patachimbika. Nina mpango wa kuchukua form...ole wake mtu anikate watatambua kuwa kuna demokrasia ya kweli.
 
Back
Top Bottom