Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

..NADHANI sijakuelewa:D:D
Waoaji inajumuisha na wale wanaooa just for the sake ya kuoa,umri au wengine wote wameoa- huyu haijui maana halisi ya ndoa
Ndo mana nikasema wanaume wa ndoa- wanaojua ndoa ndo wako wachahe.

Najua wewe ni mume wa ndoa- nikikumbuka zile sredi zako za siku za mwishoni kabla ya kuelekea altereni. Unless unambie ulikuwa umelewa na mafundisho ya Msimbazi senta!
 
mimi ni mume wa ndoa!ingawa kaizer atapinga kwa hoja ya ''NDOA YAKO CHANGA'':D
 
...sio kweli!kwa mtizamo huo ndoa nyingi zitavunjika MARA TU BAADA YA HNYMN!
ndoa iwe furaha maisha yenu yote,SIO HNYMN TU
Geoff, mi namsupport GS kuwa wakati wa Fungate ndo wakati pekee ambapo wanandoa changa huweza kupata masaa 24 au zaidi ya pamoja, na wakati huohuo mwanamke na mwanaume huwa hawana wasiwasi wa..."alipotoka alikuwa na nani...?", vitu kama hivi huwa havipo, unajua ni wangu by 100%, anajua ni wake 100%!..kwahiyo at least wakati huo furaha huwa ya juu zaidi kuliko yakianza yale mambo yanayozijeruhi ndoa nyingi!
 
Mi honeymoon ilikuwa kula kidude tu na kutoa stress...mambo yote ya MSINGI tulishayaongea na kuyaongea enzi za uchumba....

actually siku hizi, wengine wanatumia honeymoon kwa ajili ya mapumziko hasa baana ya a very arduous marriage preparations. Simu zinazimwa kabisa.

Niseme tu mimi pia sipendi utamaduni wa kuwatembelea maharusi kwenye fungate/honeymoon zao. wanatakiwa wapumzike. sio muda wa ndugu na wapambe kwenda kuulizia nauli za kurudi makwao jamani!

katika hali halisi, sio kila mtu anaishi maisha ambayo anaweza kusema tu anaoa na akapewa labda mwezi wa kupumzika. Kuna majukumu ya kikazi na sio kuwa ofisi zote ziko so generous....

Kila siku inatakiwa kuwa honeymoon essentially....at least ionekane ivo

MJ1....

Sidhani kama honeymoon ni lazima sana ili uweze kumfurahia mpenzi wako. Baada ya harusi mnayo maisha yenu yote ya kuishi pamoja, kwa hiyo manaweza kuyafurahia wakati na saa yoyote mkiamua. Kama mnaweza kukaa siku 2, wk au hata zaidi ni poa. Ila kwa upande wangu, siyo lazima sana kuwa na honey moon zaidi ya kwamba ni fashion na mambo ya kuiga zaidi.

Sisi tulipumzika kwa siku 2 tu na kurudi kibaruani. Tunapanga sasa kufanya honey moon yetu baada ya miaka 10 (2011). Nadhani hiyo itakuwa bomba sana kwa sababu sasa tunaweza kuongea lugha moja na njozi zote zimeishafifia!!
 
Geoff, mi namsupport GS kuwa wakati wa Fungate ndo wakati pekee ambapo wanandoa changa huweza kupata masaa 24 au zaidi ya pamoja, na wakati huohuo mwanamke na mwanaume huwa hawana wasiwasi wa..."alipotoka alikuwa na nani...?", vitu kama hivi huwa havipo, unajua ni wangu by 100%, anajua ni wake 100%!..kwahiyo at least wakati huo furaha huwa ya juu zaidi kuliko yakianza yale mambo yanayozijeruhi ndoa nyingi!
Hapa haumzungumzii mtu ambaye anaishi na mwanamke kabla ya ndoa!.....au sio?
 
Sidhani kama honeymoon ni lazima sana ili uweze kumfurahia mpenzi wako. Baada ya harusi mnayo maisha yote yenu ya kuishi pamoja, kwa hiyo manaweza kuyafurahia wakati na saa yoyote mkiamua. Kama mnaweza kukaa siku 2, wk au hata zaidi ni poa. Ila kwa upande wangu, siyo lazima sana kuwa na honey moon zaidi ya kwamba ni fashion na mambo ya kuiga zaidi.

Sisi tulipumzika kwa siku 2 tu na kurudi kibaruani. Tunapanga sasa kufanya honey moon yetu baada ya miaka 10 (2011). Nadhani hiyo itakuwa bomba sana kwa sababu sasa tunaweza kuongea lugha moja na njozi zote zimeishafifia!!
...well SAID!
 
Geoff, mi namsupport GS kuwa wakati wa Fungate ndo wakati pekee ambapo wanandoa changa huweza kupata masaa 24 au zaidi ya pamoja, na wakati huohuo mwanamke na mwanaume huwa hawana wasiwasi wa..."alipotoka alikuwa na nani...?", vitu kama hivi huwa havipo, unajua ni wangu by 100%, anajua ni wake 100%!..kwahiyo at least wakati huo furaha huwa ya juu zaidi kuliko yakianza yale mambo yanayozijeruhi ndoa nyingi!

PJ,

Kuna wengine wanaweza kuwa bado wanasumbuliwa na memories za mahusiano yao ya nyuma. Kwa hiyo siyo lazima kuwa kwa sababu wamejifungia chumbani (24 hrs) basi wako pamoja kwa kila kitu (body, mind and spirit). Kuna wengine wataona kama wako jela kwani hawawezi kuwasiliana na wale extras wao! Mambo siyo rahisi namna hiyo.
 
nail it pal!:D:D
 
Mhh!..kutafuta watoto fasta namna hiyo?..Na gudtime mtakula lini sasa?

Mbona ndoa nyingi za siku hizi bi harusi anakuwa tayari mjamzito? Kule ni kwenda kupumzika tu baada ya pilika pilika za harusi!
 
I think the couple need an escape from the world just to spend quality time together without other ppl interruption. Its good to have a holiday together everybody needs a holiday except those who cant afford it:)
 
Tell him dia naona hajui watu wanakuwa wamepigwa chini na kuvimba juu long time!
Mbona ndoa nyingi za siku hizi bi harusi anakuwa tayari mjamzito? Kule ni kwenda kupumzika tu baada ya pilika pilika za harusi!
 
Mbona ndoa nyingi za siku hizi bi harusi anakuwa tayari mjamzito? Kule ni kwenda kupumzika tu baada ya pilika pilika za harusi!

ngoja niulize sasa akishakuwa mjamzito what the need for the marriage (ndoa) I dont get it...:rolleyes:
 
I think the couple need an escape from the world just to spend quality time together without other ppl interruption. Its good to have a holiday together everybody needs a holiday except those who cant afford it:)

Correction Noname hapo juu: Even those who cant afford need a holiday there are no exceptions. Yani you want to tell us that married couple/just got married couple who are broke kifedha do not need a holiday???? Ni kuishiwa tu hela but that doesnt mean kwamba they dont want to have a holiday even once in a year.
 
ngoja niulize sasa akishakuwa mjamzito what the need for the marriage (ndoa) I dont get it...:rolleyes:

The need is there to make sure that, mtoto anazaliwa ndani ya ndoa....!!! Its like wanahalalisha hiyo mimba! Should I say more? :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom