Yanayonikuta ni ajabu waungwana

Yanayonikuta ni ajabu waungwana

Nimepanga na kuna wapangaji wenzangu ktk mji.Mpangaji mmoja aliingia zogo na mkewe.Wakapigana hadi kuvuana nguo,mwanamke alisitiliwa na kitenge cha demu wangu ambacho mtoto wa watu aliniachia alipokuja.
Utata ni pale mwanamke huyu anapokataa kurudisha,na kilichukuliwa kwenye kamba kwani nilikuwa nimekifua.Nilihamaki sn,then siku moja jioni akaja na kanga 1kavaa hatari maumbile!!!! akaniomba nimtumie mwanae fedha kwa M-pesa et yeye hajui,nikamtumia,hakika alinijaribu.Asubuhi baada ya mume wake kuondoka akanitext "mambo,umelala?" mara natamani nije!!!! nikamruhusu,Kilichoendelea hakika NILIMGEGEDA VILIVYO,siku iliyofuata ndo balaa mpaka alipoteremka kitandani alitaka kuanguka.
Sasa NIMEAMUA KUACHA na kutubu kwa Mungu kile nilichotenda,lakini NATISHIWA sn na anataka niendelee KUMGEGEDA na mie nimekoma naogopa ku-UFOO SARO,kitenge hataki kunipa na maneno anayotoa ni ya hatari.Nifanye vipi?
Leo kaniambia NIMGEGEDE mara 3 ili anipe,na kasema nikimfanya vurugu yupo tayari mume wake ajue,msaada ushauri plz,usitukane.


Nakutakia heri kwenye safari yako ya kutaka kugegedwa na njemba zitakazoletwa na mume wa huyu mwanamke.
Wakufanye hadi ushindwe kutembea kama ulivyomfanya mke wa jamaa.
Na watu wote tuseme AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN
 
Nimepanga na kuna wapangaji wenzangu ktk mji.Mpangaji mmoja aliingia zogo na mkewe.Wakapigana hadi kuvuana nguo,mwanamke alisitiliwa na kitenge cha demu wangu ambacho mtoto wa watu aliniachia alipokuja.
Utata ni pale mwanamke huyu anapokataa kurudisha,na kilichukuliwa kwenye kamba kwani nilikuwa nimekifua.Nilihamaki sn,then siku moja jioni akaja na kanga 1kavaa hatari maumbile!!!! akaniomba nimtumie mwanae fedha kwa M-pesa et yeye hajui,nikamtumia,hakika alinijaribu.Asubuhi baada ya mume wake kuondoka akanitext "mambo,umelala?" mara natamani nije!!!! nikamruhusu,Kilichoendelea hakika NILIMGEGEDA VILIVYO,siku iliyofuata ndo balaa mpaka alipoteremka kitandani alitaka kuanguka.
Sasa NIMEAMUA KUACHA na kutubu kwa Mungu kile nilichotenda,lakini NATISHIWA sn na anataka niendelee KUMGEGEDA na mie nimekoma naogopa ku-UFOO SARO,kitenge hataki kunipa na maneno anayotoa ni ya hatari.Nifanye vipi?
Leo kaniambia NIMGEGEDE mara 3 ili anipe,na kasema nikimfanya vurugu yupo tayari mume wake ajue,msaada ushauri plz,usitukane.

waasherati na wazinzi hawataurithi ufalme wa Mungu, umejipalia makaa kifuani mwako ww unadhani uko salama subiri kitambo kidogo utavuna. ukitubu na kuacha utasamehewa
 
Kuna mambo huwa tunaombeaga ushauri yananiacha nikiwaza kama darasa la kwanza tulifaulu kweli!!!
 
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa kabisaa...labda nayeye kaweka hiko kitenge ndio mtego wake ili iwe rahisi kuomba na mbunye kabisa

Nyie watu,nimesema kitenge kilikuwa kimeanikwa.Baada ya kupigana na mke kuvuliwa nguo ilibidi asitiliwe na hicho kitenge.But ninapodai hataki kunipa.
 
"NILIMGEGEDA VILIVYO,siku iliyofuata ndo balaa mpaka alipoteremka kitandani alitaka kuanguka."
Endelea tu kugegeda ila ikifika zamu yako utagegedwa mpaka ushindwe kukaa... mke wa mtu ni sumu ushachombeza subiri mgegedo tu...
 
Muke ya mutu ni sumu, sasa wewe endelea kufurahia sukari guru, siku ikigeuka sumu ndipo utajua kuwa ogopa kuvua pichuu ya mke wa mtu!!! Tendo la masaa linaukatisha uhai wako.
 
Nyie watu,nimesema kitenge kilikuwa kimeanikwa.Baada ya kupigana na mke kuvuliwa nguo ilibidi asitiliwe na hicho kitenge.But ninapodai hataki kunipa.
Mbona mazingira aliyochukulia kitenge yako wazi sana?
Kama kweli shida yako ni kitenge mwambie mumewe akupe.
 
Endelea tu, si unapata raha mkuu....
Jitume kwa kuwa muda si mrefu kutakua na msiba!
Andika wosia kabisa.
0†7
 
Back
Top Bottom