Yanayojiri sherehe za victory day ya Urusi inayofanyika usiku wa leo. CNN watarusha live kuanzia saa saba usiku wa leo

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,906
Sherehe za victory parade za Urusi zinafanyika usiku wa leo.CNN watarusha live kuanzia saa saba usiku wa leo ambazo zinafanyika jiji.la St Petersburg Urusi

Sherehe hizo hutumika kuonyesha vifaa vya Urusi vya kivita vikiwemo most current na Gwaride la majeshi ya Urusi

Na huishia kwa hotuba ya Raisi wa Urusi

Dunia inasubiri mwaka huu ataonyesha silaha gani mpya kali na kumsikiliza Putin ataongea nini. Sababu hotuba yake huwa ndio nzito kuliko hotuba za sherehe zingine zote

Jana walionyesha tu wakifanya rehearsal ya sherehe ya Gwaride na vifaa vya kivita

Tusubiri sherehe yenyewe leo usiku saa saba tuone live
 
Dunia nzima inamsubiri Mwanaume mmoja tu,Vladimir Putin.
Mwanaume aliyeyumbisha uchumi wa Ulaya na Dunia nzima.

Mwanaume aliyeyumbisha uchumi wa Ulay

Dunia nzima inamsubiri Mwanaume mm

tu,Vladimir Putin.
Mwanaume aliyeyumbisha uchumi wa Ulaya na Dunia nzima.
Dunia nzima inamsubiri Mwanaume mmoja tu,Vladimir Putin.
Mwanaume aliyeyumbisha uchumi wa Ulaya na Dunia nzima.
ukipenda muite "stone face"
 
Sherehe za victory parade za Urusi zinafanyika usiku wa leo.CNN watarusha live kuanzia saa saba usiku wa leo

Sherehe hizo hutumika kuonyesha vifaa vya Urusi vya kivita na Gwaride la majeshi ya Urusi

Na huishia kwa hotuba ya Raisi wa Urusi

Dunia inasubiri mwaka huu ataonyesha silaha gani mpya kali na kumsikiliza Putin ataongea nini. Sababu hotuba yake huwa ndio nzito kuliko hotuba za sherehe zingine zote

Jana walionyesha tu wakifanya rehearsal ya sherehe ya Gwaride na vifaa vya kivita

Tusubiri sherehe yenyewe leo usiku saa saba tuone live
Wanafanyia mji gani?Mariupol?
 
Ngoja tusikie 'ngumi jiwe' Putin atasema nini!
 
Russia dio Nchi ambayo haijawahi kutugeuza watumwa na kusaidia kuwasomesha Wazee wetu na kuwasamehe watanzania wote waliobahatika kusoma nchini mwao.... Long live Vladimir and Russia people..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hao waliosoma Urusi wana cha maana gani walichosaidia nchi mbona umaskini uko pale pale na ufisadi juu
 
Anza na kwanini mlikubali kugeuzwa na hao Westerners
Pia muulize kwa nini maraisi wa Tanzania huwa toka Nyerere ziara zao ni kwenda nchi za Magharibi na Marekani nyingi kwa nini?

Na uliza kwa nini Urusi wakimbizi toka Afrika hawataki kwenda Urusi wanataka nchi za Magharibi

Nchi za Ulaya zina mashirika ya misaada ya nje kama USAID,DANIDA,JICA ,nk ambao ni active Tanzania

Muulize shirika la misaada la kirusi linaitwaje na Tanzania liliwahi leta msaada gani?
 
Back
Top Bottom