Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

Si ndo EL huyo au unamtaka nani?
 

Attachments

  • 1430035127483.jpg
    1430035127483.jpg
    44 KB · Views: 351
Endapo Tu Nitajulishwa Kama Si Kufahamishwa Tofauti Kubwa Kati Ya MARINES SPECIAL FORCE Wanaovaa Kofia Za Bluu Na COMMANDO Wanaovaa Kofia Rangi Ya Damu Ya Mzee.
Nitawashukuruni Mno Kwa UFAFANUZI Wenu Kwani Nataka Kujipanga ILI Nijiunge Na Kikosi Kimoja Wapo Hapo!
 
Haya ni matumizi mabaya ya kodi mtu anakagua gwaride na kuondoka bila kuongea lolote.utaratibu wa kijinga kabisa huu.wananchi tungefurahi kusikia kiongozi wetu anatuambia nini hasa katika kipindi Kama hiki.
 
Tanzania ni nchi ya amani sana!!! Na hili litadumu kwa miaka mingi kama tutaendelea kuipa CCM imani na
kuichagua katika chaguzi zetu.
 
hapo kuna unafiki mkubwa sana...watawataja wauza watumwa akina sheikh m mkwawa,sheikh kinje na abushiri jinsi walivyo wapiga wamisionary walioingilia biashara yao ya utumwa.
huu msimamo wa udini wako ndo msimamo wa chama chako, cdm?
 
Haya maadhimisho ni ya ccm na serkali yake. Katiba inayopendekezwa ni ya ccm na serkali yake. Kama siyo mwana ccm hayakuhusu waache waendelee na kampeni zao
 
Yan kuna mambo yanakera sana yan mc wa muungano anasema watu wajiandikishe alaf wakapigie kura ya ndio katiba mpya mbona serikali ya tanzania inatia aibu kwanin wasihimize watu wasome katiba waielewe ili wakafanye maamuzi sahihi na sio kuwashinikiza watu kupiga kura ya ndio
 

Nilijua tu kuna kilaza ataileta TENA hii picha. Kila shughuli inayofanyika uwanja wa taifa lazima friends of EL waiweke. Leo nimeangalia kwa uangalifu walio karibu na amiri jeshi, sijamuona hata kwa mbali EL.
 
Ni upuuzi uliokithiri mwanzoni mwa hotuba ya kuadhimisha miaka 51 ya Muungano mnatuambia tuipigie katiba pendekezwa kura ya NDIYO, ndiyo kwa lipi!!

Maadhimisho haya mhimu yanaingizwa na siasa za ushawishi wa CCM.. I hate this government..

Hii sio sherehe ya kampeni ya katiba!!
 
huu msimamo wa udini wako ndo msimamo wa chama chako, cdm?
wewe mwehu kwelikweli?Mbona Karume mnamwita Sheikh na anabaki kuwa kiongozi wa muhimu wa Zenj?Au kwa vile kuficha ya mkwawa itaficha alichokipigania?
 
Tz tuna matatizo.
Nilikuwa sijauona uwanja wa uhuru mida, kumbe umesogea hivyo kiujenzi???
Kwa nini tumejenga viwanja 2 world class karibu karibu hivyo?????
Nina mashaka na watu wanaofanya planning hapa Tz.
 
Back
Top Bottom