hiyo ndiyo sifa ya kwanza kwa wanaotaka ubunge kupitia ccm .Nimeamini Wabunge waccm ni wabovu sana kichwani mwao..
Wewe umesoma mpaka darasa la ngapi kama mpaka leo hujui maana ya ajira? nikusaidie tu mtu yeyote anayelipwa mshahara na mtu mwingine kwa kazi yeyote hazalisha mahusiano ya mwajiri- mlipa Mshahara and mwajiriwa- mlipwa mshahara. wananchi wa Tanzania ndio waajari wa wabunge wote kupitia uchaguzi na kodi.Mheshimiwa Sugu akichangia bungeni mchana wa leo, ameanza kwa kusema ubunge sasa imekua ajira hatarishi, anasema kwa miaka mitatu aliyokuwa mbunge amekamatwa na polisi mara nyingi zaidi kuliko miaka 20 aliyokua akipiga muziki.
amechangia mengi lakini katika hayo mengi amesema kuna uwezekano wa kujenga nyumba kwa milioni 16, kwa hili wacha tutafakari kwanza
Wewe umesoma mpaka darasa la ngapi kama mpaka leo hujui maana ya ajira? nikusaidie tu mtu yeyote anayelipwa mshahara na mtu mwingine kwa kazi yeyote hazalisha mahusiano ya mwajiri- mlipa Mshahara and mwajiriwa- mlipwa mshahara. wananchi wa Tanzania ndio waajari wa wabunge wote kupitia uchaguzi na kodi.
safi sana
mkuu kwa hiyo unaweza kusemaje kuhusu mandela?Sugu na Lema hata kabla hawajaingia kwenye siasa na hata kabla mfumo wa vyama vingi vya siasa haujaanza WAMELALA SANA JELA,wasitumie kigezo cha ubunge nowdays,JELA sometimes ni haiba ya mtu ,mtu kama lema kafanana sana na jelajela