Yanayojiri kwenye taasisi za umma

luckypepeta

Member
Dec 26, 2015
25
8
Mtumishi akiwa na tatizo la kiafya na akalifikisha sehemu husika kwa maana ya watu wa hr na at the same time watu wachache wanaotumia madaraka vibaya wanaamua kumhamisha kumpeleka sehemu ambayo ni hatari kwa afya yake na hata anapojaribu kuwaeleza wahusika tatizo lake matokeo wanamkejeli kwa kumwambia eti nenda tu Mungu atakusaidia je ni sahihi hawa watu waliopewa mamlaka ya kusimamia watumishi kucheza na afya zao? Kama walihisi wanadanganywa hawakuchukua hatua zozote kufuatilia medical report kujiridhisha zaidi huu ni ukwiukwaji mkubwa wa sheria za kazi. Naenda nikirudi nawaanika kwa majina na vyeo vyao haya ni majipu yaliyoiva.
 
Mkuu ulitaka ubaki Dar ufanye nini..? Unasingizia kuumwa ili utoke Namtumbo uliko huko..?
 
Back
Top Bottom