Yanayojiri katikati ya jiji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayojiri katikati ya jiji.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 13, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  FFU na mabomu ya machozi na magari ya upupu yanaelekea pande za ikulu, nadhani huko ndio CUF wanafanya tukio lao.
   
 2. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nipo maeneo Mbezi Beach naelekea katikati ya jiji...
  Tupe habari zaid.
  CUF wanafanya vitu gani tena?
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  buji mbona hutupi updates? Au unaogopa upupu?
   
 4. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  mara dar maro dom mmmmh
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sijaelewa kitu.
   
 6. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  usishangae mamaaa ndo bongo zaidi ya uijuavyo.
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haya yote yana mwisho wake,
  Iko siku watu hawatayaogopa haya!
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Inasemekana kuna wanafunzi wa chuo kimoja wapo... wapo maeneo ya hazina...
   
 9. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  nchi ina machafuko, hili liko bayana
   
 10. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa naenda zangu chanika nikakutana na gari za ffu zinaelekea town nikawa na sintofahamu nyingi tu,kuhusu nini kinaendelea,watu mliopo town tupeni uptodate jamani.
   
 11. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Wananchi wakishazoea mabomu na risasi watakuwa sugu na hapo hakutakalika wala kulalika
   
 12. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  CCM hawalijui hilo
   
 13. M

  Mkare JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia ni wanafunzi wa Muhimbili walikuwa wanaelekea Ikulu...
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Chuo gani tena maana chuo kilicho karibu na hazina ni IFM na CBE kwa mbali, ukitoa chuo cha maagogoni ambacho sijawahi kusikia wamegoma? Au wale jamaa wa kigamboni wamevuka bahari?
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa taarifa mkuu. Hao wana viasili vya mgomo na walaa sishangai, tena najua litakuwa aidha boom au management? Jamani msiniulize kama nimekabidhiwa lini mikoba na marehemu sheikh Yahaya.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuna nini tena huko???
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  No... Ni kisiwa cha amani!
   
 18. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni wanafunzi wa muhimbili wanatatizo na management yao, wapo wizara ya elimu, mazungumzo kati ya wizara na wanafunzi bado yanaendelea.
   
 19. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  True KWA MUJIBU WA HISTORIA
   
 20. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya magari ya upupu yamepaki viwanja vya ikulu karibu na bahari, kwani mama clinton kaondoka?
   
Loading...