Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
huwezi kulinganisha mlima meru na mlima kilmanjaro....!
Wote ni pasua kichwa hawana cha maanaWadau, kwa wabunge wanaoibana kisawa sawa SERIKALI YA CCM kwa matamko mazito na makali ni huyu tundu lisu wa chadema na kangi lugola wa ccm ,nataka tujadili nani anajua kujenga hoja kati ya hawa mafahali wawili toka vyama tofauti.karibuni
nani mlima meru hapo ni lisu au lugola
Hii ni kauli ya Hawa Ghasia leo ndani ya Bunge.....
Umesahau kuwa hata NGO ya Mchumba wa Dr Slaa iitwayo INGETA imepewa kiasi kikubwa na NSSFSasa kama kweli itaundwa kamati ya bunge kufuatilia jinsi mifuko ya jamii inavyoliwa kiharamu na viongozi basi pasipo shaka tutaona jinsi Ramadhani Dau alivyonunua cheo chake kwa kutoa fedha zetu nyingi kwa NGO ya mke wa mkulu iitwayo WAMA!!! Ili kula fedha za NSSF vizuri wakampa Dau kuwa mjumbe wa bodi ya WAMA; huu ni ufisadi wa hali ya juu.
Wote ni pasua kichwa hawana cha maana
y
[/QUOeTE]
Acha kuweweseka intarahamwe. Hivi ni vilima viwili ila Lugola ni mlimameru na Lisu ni kilimanjaro. Inaelekea ccm wamechanganyikiwa. Nimesikia Komba akikana, Luykuvi na Kabaka wakikiri na Hawa akaja kuhamisha hoja kwenda kwa Mbowe. Hoja iliyoletwa ni kuomba omba si kukopa maana wakopaji ni wengi na sheria inasema ukikopa unaweka rehani mali zako na ukishidwa kulipa zinakatwa. Hoja ya kuomba omba inakufanya uwe na haya kumuwajibisha mfadhili wako, hii ndio hoja kuu ya Lisu na hakuna aliyejibu hoja hiyo. Hii imefanya muongozo aliomba kuwa mwiba tena kwao.
Umesahau kuwa hata NGO ya Mchumba wa Dr Slaa iitwayo INGETA imepewa kiasi kikubwa na NSSF
Hawa jamaa wanapokea halafu wanasahau ni watu wa ajabu sana kwenye hii nchi.Umesahau kuwa hata NGO ya Mchumba wa Dr Slaa iitwayo INGETA imepewa kiasi kikubwa na NSSF
Hawa jamaa wanapokea halafu wanasahau ni watu wa ajabu sana kwenye hii nchi.