Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo tarehe 6 June, 2014

Wazee wazee wazeee, ni wakati anauliza swali la nyongeza bungeni leo, ameishauri serikali ianzishe wizara ya kushughulika na wazee katika mambo muhimu kama; matibabu, chakula, malazi hasa wale ambao hawana pension. Aidha katika michango yake ya leo ameongea vizuri sana pale anapowashauri watu wawe na uzalendo na taifa lao na waache kupost vitu vya ajabu kwenye mitandao.
Hongera sana mama! Watakuwa wamekuelewa wale wenye tabia hizo.
 
Huyo bibi huwa ni kichefuchefu bungeni na bahati nzuri mda wake unaenda kuisha,sijui ingekuaje angekuwa spika wa bunge la katiba
 
Sijavutiwa na kitendo cha ITV kumuonesha Naibu Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba akisinzia bungeni leo
ITV mlikuwa na nia gani kummulika naibu waziri na makamera yenu ? Je angekuwa Mwengi mngemmulika na kamera?
Kusinzia bungeni kitu cha kawaida,kwani naibu waziri huyu anachapa sana kazi hivyo huchoka.
 
Nakumbuka tu huyo jamaa alishawahi kufumaniwa na mke wa mtu huko Igunga akifanya Uzinzi wakati wa kampeni!!!
 
Mwigulu ni kama kibuyu cha kiiraq.

Kama anaiwaza cdm kila kukicha ataacha kuota?
 
Sijavutiwa na kitendo cha ITV kumuonesha Naibu Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba akisinzia bungeni leo
ITV mlikuwa na nia gani kummulika naibu waziri na makamera yenu ? Je angekuwa Mwengi mngemmulika na kamera?
Kusinzia bungeni kitu cha kawaida,kwani naibu waziri huyu anachapa sana kazi hivyo huchoka.

Ni kama vile umegeuza swali? Kwa nini mnapenda kushughulika na matokeo badala ya mzizi wa tatizo?

Kwa nini huyo huyo amesinzia bungeni?

Mada za kilevi kwa bavicha ndiyo mada zenu chama chenu kinakua badala ya kufanyia kazi mmekaa kufanya umbea na majungu tu.
 
weka picha labda alikuwa anawaza UKAWA maana sijasikia kibomu chake kwa hao jamaa
 
Sijavutiwa na kitendo cha ITV kumuonesha Naibu Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba akisinzia bungeni leo
ITV mlikuwa na nia gani kummulika naibu waziri na makamera yenu ? Je angekuwa Mwengi mngemmulika na kamera?
Kusinzia bungeni kitu cha kawaida,kwani naibu waziri huyu anachapa sana kazi hivyo huchoka.
Huna habari, alikesha kwenye tamasha ndo maana alisinzia. Lakini si ni kawaida kwa wabunge wa CCM kusinzia! Komba, mrema etal.
 
Natamani kupata picha yake Mheshimiwa akiuchapa bungeni.!
 
Sijavutiwa na kitendo cha ITV kumuonesha Naibu Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba akisinzia bungeni leo
ITV mlikuwa na nia gani kummulika naibu waziri na makamera yenu ? Je angekuwa Mwengi mngemmulika na kamera?
Kusinzia bungeni kitu cha kawaida,kwani naibu waziri huyu anachapa sana kazi hivyo huchoka.
Alikesha kuvizia mke wa mtu
 
anakazi ngumu sana mh mwigulu, kwanza kumbuka leo alikuwa awasilishe hotuba yake, pengine alilala lisaa limoja tuu usiku na mdamwingine alikuwa anashughukia taifa ikiwemo wewe mwenyewe
 
Sijavutiwa na kitendo cha ITV kumuonesha Naibu Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba akisinzia bungeni leo
ITV mlikuwa na nia gani kummulika naibu waziri na makamera yenu ? Je angekuwa Mwengi mngemmulika na kamera?
Kusinzia bungeni kitu cha kawaida,kwani naibu waziri huyu anachapa sana kazi hivyo huchoka.
We pimbi kweli,hivi nani kawaloga maccm unatetea ujinga,ulitaka aonyeshwe anakata gogo...
 
Hahahahahahh.............lugha ya fasihi, vilaza itawapita hivi hivi hawataelewa chochote

Anyway huyo gaidi kashinda kwa Lwakatare akitengeneza ile part 2 ya filamu yake naleo kajidamka bungeni ili kuzuga kwamba hakwenda kokote Ila usingizi usivyo na adabu umemuumbua na miudende mpaka kifuani

BACK TANGANYIKA
 
BAVICHA, ITV, wote ni wale wale tu, sina haja ya kujiaminisha uzushi kama huu.
 
We pimbi kweli,hivi nani kawaloga maccm unatetea ujinga,ulitaka aonyeshwe anakata gogo...
Sasa povu la nini wakati BAVICHA mwenzako ameripoti kifasihi ili kumdhalilisha Mh.Mwigulu? Jifunze kuelewa lugha kwanza.
 
Hahahahahahh.............lugha ya fasihi, vilaza itawapita hivi hivi hawataelewa chochote

Anyway huyo gaidi kashinda kwa Lwakatare akitengeneza ile part 2 ya filamu yake naleo kajidamka bungeni ili kuzuga kwamba hakwenda kokote Ila usingizi usivyo na adabu umemuumbua na miudende mpaka kifuani

BACK TANGANYIKA

Mmojawapo huyu hapa
quote_icon.png
By ZionGate

Back
Top Bottom