Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Habari wakuu,
Leo Umewasilishwa Muswada wa Sheria ya tume ya Waalimu wa mwaka 2015. Muswada huu utasoma na Waziri wa Elimu na Ufundi kwa niaba ya Waziri Mkuu
Bunge hili linatalajiwa kuhitimiswa hapo kesho.
Nimeshangaa kumuona Mh. Leticia Nyerere Mbunge huyu wa Viti Maalumu wa CHADEMA,
Kulikoni wakuu? Kwani amejitoa CHADEMA tayali? na tena kauliza swali la nyongeza. Mwenyekiti wa UKAWA alitangazia Umma kwamba UKAWA watalisusia bunge. Sielewielewi.