Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatano tarehe 18 Juni, 2014

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatano tarehe 18 Juni, 2014

Mimi ni mkazi wa tabora, siku ya leo nimeona mbunge wa viti maalumu tabora mjini bi munde akichangia bungen na maneno yake siyo wa kweli, hata kama kusifia ili wakubwa zako wakuone basi sifia ya kweli. Badilika

Kadai Sikonge wametengeneza ajira 1000 ukwel ukiwa ni vijana 100 tu .
 
Wabunge wa upinzani wanatoa hoja zenye mashiko na za kujenga lakini wabunge wa CCM wanasifia tu bajeti, Tutafika?


NB: Kama una fikra na mawazo mgando samahani usichangie
 
Aisee kumbe uko mashambani..........no wonder!
Great mind discuss issues, small mind discuss people....niko mashambani lakini pia niko na wewe msomi uchwara hapa mtandaoni. Hushangai? Na ma PhD yako feki
cc
safari ni safari
 
Which school after LSE?
U went for theoretical learning, then u missed practical education...u live in hipothetical/ imaginary world ndio mana pamoja na PhD yako huna kazi ya kufanya unaishia kupopolewa mawe na mkulima wa mashambani apa..shame upon you...na kizazi chako!!!
 
It's time for CHADEMA to conduct a self assessment before it's too late. I don't wanna believe that everyone else is wrong but Mbowe and co.Leticia Nyerere is not a traitor but she has been disheartened by the current flawed,reckless and poor leadership under Mr Mbowe.
 
huyo mama mnaemwita (mbunge wa kuteuliwa) nakumbuka hata wakati wa kampeni ndugu zake wala hawakumuunga mkono. coz walikuwa wanamjua tabia yake ht kwao tu hawampendi mbinafsi hana lolote we km ndugu zake tu hawamtaki sembuse chadema fukuzeni.
 
Mapungufu ya Uongozi wa Mbowe.
Hataki kuimarisha Chama ngazi ya chini kabisa.
Hataki kukosolewa
King'ang’anizi wa madaraka
Ameshindwa kuuongoza Upinzani Bungeni
Baada ya CHADEMA kupoteza uchaguzi mdogo wa madiwani alikuja na story za makao makuu ya Chama kutaka kulipuliwa
Kushindwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kutomtembelea Mama yake Zitto alipokuwa amelazwa ICU
Akashindwa tena kuhudhulia msiba wa mama yake Zitto.
Kwa mtu unayejitambua huwezi kukubali kuendelea kuongozwa na kiongozi wa aina hii asiyejua kufanya siasa za kistaarabu.Msimchukue Leticia Nyerere bure anzeni kuangalia na tabia pamoja na matendo ya viongozi wenu kama ni vya kiungwana.
 
U went for theoretical learning, then u missed practical education...u live in hipothetical/ imaginary world ndio mana pamoja na PhD yako huna kazi ya kufanya unaishia kupopolewa mawe na mkulima wa mashambani apa..shame upon you...na kizazi chako!!!
Mkuu kumetokea nini mbona mnararuana?
 
Mama Kilango aipigania Tanzania kuhusu Mlima Kilimanjaro.

Leo asubuhi akiwa anauliza swali kuhusu suala la ndege za kampuni ya Kenya Airways kuweka nembo ya Mlima Kilimanjaro katika ndege zake,mbunge wa Same Mashariki kupitia Ccm amekumbana na majibu ya kusikitisha kuhusu suala hili.

Mama Kilango aliuliza uhalali wa nchi ya Kenya kutumia ndege zake kuutangaza mlima wa Kilimanjaro kuwa ni kivutio cha utalii kilichopo nchini mwao.

Mama Kilango alipata kiini cha kuuliza swali hili baada ya mmoja wa wanajukwaa la Friends Of Hon.Membe kuweka picha ya moja ya ndege za Kenya Airways zikiwa na aina ya tangazo linalolalamikiwa na Mama Kilango.

Ag Werema kamjibu vibaya Mama Kilango.Anasema sio kosa kwa kinachofanywa na Kenya.Waziri wa Maliasili na Utalii naye kakaa kimya pamoja na kwamba Mama Kilango alimwomba atoe kauli.

Ukimya wa serikali na majibu ya Ag Werema hayana tofauti na mtu limbukeni wa taaluma aliyonayo.Ni aibu kwa mtu msomi asiyeelewa madhara ya mtu kutumia trade mark ya mwingine bila idhini yake.Hata kisheria sio sahihi!

Ag Werema anapotosha ukweli.Ila sisi ndio wenye sio yeye.Mama Kilango katusemea Bungeni,ni jukumu letu kumpigania mitaani hadi serikali ielewe.

Kwasababu hii sio haki kwa nchi yetu.Ukimya wa serikali na majibu yake mepesi ni msumari wa moto kwa maendeleo ya nchi yetu.Tunapaswa tulipwe fidia kwa kitendo kinachofanywa na Kenya.Tunaonekana hatupo serious na rasilimali zetu!
 
Kauli ya Ag inatia hasira. Lakini hata katiba ya JMT haielewi?
 
Tunakusanya fedha tunaweka kwenye mifuko iliyotoboka
 
Back
Top Bottom