Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatano tarehe 18 Juni, 2014

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatano tarehe 18 Juni, 2014

Menrad ligola anashauri kuondoa misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa.
===anahoji inakuwaje wawekezaji wanasamehewa kodi?? Wakati wamekuja kuchuma
===waziri wa maji anaitwa haraka sana na wananchi wa jimbo la mufindi kusini, watu wa kule wana shida kubwa sana ya maji
 
Waziri wa nishati na madini, wananchi wana imani na wewe, fanya vitu kwa vitendo usije poteza imani kwa wananchi bure...wanataka umemeeeee
 
Zainabu kawawa....anaanza kwa kushukuru kwa uteuzi kuwa mjumbe wa baraza la chuo kikuu huria ....anaahidi utumishi uliotukuka
===anasema hayupo hapa kuwasifia mawaziri, anawakumbusha wafanye kazi
===vision ya nchi 2010/2020 lmesema wazi kuwa inataka kuitoa nchi kweney umaskini kwenda kwenye nchi yenye uchumi wa kujitegemea....iweje hadi leo deni la taifa linakua?????
===sekta ya ajira bado ni bomu la wazi...ajira laki 6 zilizotangazwa kuzalishwa ziko wapi???
===anashauri kuishirikisha sekta binafsi na sekta zisizo rasmi kuongeza ajira kwa watz
===viwanda vilivyokufa vikifufuliwa vitaongeza ajira kiasi gani??? Mf kiwanda cha kilitex mwatex sungura tex,general tire,mafuta ya okey,kiwanda cha kusindika nyama tanganyika parkers
====
====wafanyakazi....anamshukuru rais kuwapunguzia wafanyakazi kodi lakini anasema haitoshi, ni kiwango kidogo mno
 
Mh khalfan barwan
==anaanza kwa tanzia...anashukuru walioshiriki mazishi ya dada yake,anawashukuru madaktari
anasema kansa ni tatizo kubwa sana nchini esp kwa kina mama
===bajeti...anasema bunge bado halijafanya kazi yake ya kuisimamia serikali ipasavyo,limeshindwa kuisimamia serikali itekeleze wajibu wake
====nchininanuka rushwa...deni la taifa litalipikaje??? Ufisadi umekithiri. Fedha za nchi zinahamishwa nje ya nchi na viongozi wa nchi hii...
===mikataba mibovu...
===ukiritimba kwenye mabenki
===wadau wa maendeleo....tunakumbatia wafadhili wale wale lakini wameshindwa kutusaidia kuondoka ktk umaskini
====rasilimali za nchi....pamoja na rasilimali za nchi kuwa pevu lakini watz hawatamani kuwa wavuvi wala wakulima....ardhi bikra lakini hakuna return....vipi????????
 
mh. Meshak opulukwa
===anawashangaa wabunge hasa wa ccm kulalamikia matatizo ya wananchi wao huku mwisho wa michango yao wanaunga mkono hoja mia kwa mia

====kilimo
Anazungumzia zao la pamba...kwamba gharama za uzalishaji ni kubwa mno lakini bei yake ni ndogo
anahoji kwann serikali imejitoa kwenye zao la pamba??? Msimu mefunguliwa wiki hii lakini ofisi ya waziri mkuu imelala.
===sekta ya ngozi
anasema hv sasa kwa takwimu ya idadi ya ng'ombe waliopo nchini kila mtz ana ng'ombe wawili.
===anasema serikali haisikii, ni kiziwi na kipofu.....
 
Anna abdallah
===anasikitika kwa lugha mbaya za abaadhi ya wabunge zisizo za kibunge, anashauri wabunge wazungumze kwa heshima na adabu.anasema bunge ni shamba darasa la ustaaarabu, lugha na hekima, ni mfano kwa heshima ya taifa
===analaumu mitandao ambayo wabunge wanatumia kurushiana vitu vibaya.
 
john momose cheyo...mzee wa mapesa

anawaambia wananchi wake waache kuwasikiliza wabunge wa barabarani.yeye yupo
==anahimiza ushirikiano kama nchi
==anataka bunge lishiriki katika kusimamia utekelezaji wa mambo mbalimbali badala ya kusubiri taarifa mwisho wa mwaka ambapo wakati mwingine mambo huharibika katikati
=======
======= cheyo anashauri serikali kwamba tamisemi iache utaratibu wa kuitana nchi nzima dsm kupeleka taarifa mbalimbali za wizara ilinkuepuka ufujaji wa fedha za walipa kodi...itumie teknolojia ya computer
 
Back
Top Bottom