venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,567
Mtu asiyekunywa gongo hawezi kuja hapa na kumsema mwanaume kuwa hajaoa. Huyu mama anasema Jussa hajaoa tumefanya utafiti tukagundua kumbe hata yeye hana mume. Tukataka tumpe kijana mmoja amshughulikie (maana dini yetu inaruhusu kijana kumuoa mama mtu mzima ili kupata sunna), lakini tukaelezwa kuwa huyu mama, babake Jussa aliwahi kupata usingizi kwake kwa muda mrefu sana, kisha akamuacha....."
Haya ni maneno ya mjumbe mmoja kutoka Zanzibar aliyemaliza kuongea muda mfupi uliopita. Duuh, bunge la Katiba limegeuka bunge la mipasho.!
duh! wenzetu wa ng'ambo ya pili wana maneno kweli!!! nimekaa najiuliza hivi kwenye vikao vya BLW huwa inakuwaje humo ndani