Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Habari wanaJF,
Leo tena kikao cha bunge kinaendelea Dodoma na wabunge washaingia ndani ya mjengo na Spika anaomba dua ya kuombea taifa na bunge.
Sasa hivi ni kipindi cha maswali na majibu na moja kwa moja wanaanza na ofisi ya waziri mkuu.
Karibuni kwa mjadala..
- Wadau, katika hali ya kushangaza, Mbunge wa NCCR MAGEUZI na UKAWA, FELIX MKOSAMALI amelilia wabunge kupewa askari wa kuwalinda. Amesema kuwa wabunge wamekuwa wakivamiwa na kupigwa hali ambayo isingejitokeza kama wangepewa ulinzi na serikali. Anashangaa serikali kutoa ulinzi kwa wakuu wa mikoa na wilaya ilhali wao wabunge wakiwa hawana walinzi licha ya kazi kubwa wanayofanya kuliko wakuu hao wa mikoa na wilaya.
- Mbunge wa Ileje ametoa taarifa bungeni leo kuwa ndege ya Malawi imeonekana ikiranda randa kwenye anga la Tanzania huko mpakani Ileje.