Mda huu nafuatilia bunge la jamhuri ya muungano wa tz.,event inayoendelea ni kucha gua member atakayewakilisha bunge la tz huko kwny bunge la SADC.., na member atakayewakilisha mwalimu nyerere memorial academy. Sasa kutokana na kuwa lugha itakayotumika huko kwenye bunge la sadc ni english so wagombea wakahitajika kujieleza, na kuulizwa maswli na kujibu kwa kiingereza.,wagombea wa nafasi hiyo ni mh. Augustine manyanda masele(siyo yule naibu waziri wa nishati) na mh Dr Ole Madele..,kwa kweli utacheka kwa kusikitika jinsi mmoja wa wagombea anavyohangaika kuongea kiingereza..,mbaya zaidi ukifikiria kuwa hawa ndo wawakilishi wetu huko kwenye international bodies basi ndo unaishiwa nguvu kabisa kwani image ya tz inabebwa kuwa wote ndo tuko hivi....,INASIKITISHA!!!
Kuna Mbunge hapa anafoka sana akitaka Wabunge 'TUPEWE' walinzi. Sijawahi hata siku moja kufikiria kwamba Mbunge anahitaji ulinzi
Wadau, katika hali ya kushangaza, Mbunge wa NCCR MAGEUZI na UKAWA, FELIX MKOSAMALI amelilia wabunge kupewa askari wa kuwalinda. Amesema kuwa wabunge wamekuwa wakivamiwa na kupigwa hali ambayo isingejitokeza kama wangepewa ulinzi na serikali. Anashangaa serikali kutoa ulinzi kwa wakuu wa mikoa na wilaya ilhali wao wabunge wakiwa hawana walinzi licha ya kazi kubwa wanayofanya kuliko wakuu hao wa mikoa na wilaya.
Huyu ndo aina ya wabunge ambayo muda wote wamekuwa wakililia matumizi mabaya ya fedha za umma. Sasa kila mbunge atakuwa na askari wake, je tutatumia fedha kiasi gani kwa ajili tu ya kulipa askari hao. Pia upo uwezekano kwa akina Mkosamali kulilia serikali iwagharamie ma house girls/boys.
English is not our mother tongue' hivyo kukosea sio kosa!! Kikubwa watu kujenga hoja zenye mashiko kwataifa? Mind you' speaking beatiful langauge doesn't mean anything to our country' but the potentiality of what you speak for the growth of the country!! Mengine hayo mbwembwe tu... Nchi zingine hata hiyo lugha hawaitumii kabisa' na ndomaana kuna wakalimani!! Kwahiyo huko mjengoni kama wanapima kidhungu na sio hoja basi safari yetu ndefu sana!
Mkuu, kwa mujibu wa Kibona, ni kwamba hakuna taarifa zozote juu ya ndege hiyo ikiwa ni pamoja na kujua aina ya ndege hiyo
Tunahitaji wabunge wasomi na siyo Wa aina ya kuna DEO SANGA,
Lkn dokta alikua vizuri ila Masele itabidi aanze tuition ya Kiingereza.Mda huu nafuatilia bunge la jamhuri ya muungano wa tz.,event inayoendelea ni kucha gua member atakayewakilisha bunge la tz huko kwny bunge la SADC.., na member atakayewakilisha mwalimu nyerere memorial academy. Sasa kutokana na kuwa lugha itakayotumika huko kwenye bunge la sadc ni english so wagombea wakahitajika kujieleza, na kuulizwa maswli na kujibu kwa kiingereza.,wagombea wa nafasi hiyo ni mh. Augustine manyanda masele(siyo yule naibu waziri wa nishati) na mh Dr Ole Madele..,kwa kweli utacheka kwa kusikitika jinsi mmoja wa wagombea anavyohangaika kuongea kiingereza..,mbaya zaidi ukifikiria kuwa hawa ndo wawakilishi wetu huko kwenye international bodies basi ndo unaishiwa nguvu kabisa kwani image ya tz inabebwa kuwa wote ndo tuko hivi....,INASIKITISHA!!!
Lkn dokta alikua vizuri ila Masele itabidi aanze tuition ya Kiingereza.
Habari wanaJF,
Leo tena kikao cha bunge kinaendelea Dodoma na wabunge washaingia ndani ya mjengo na
Spika anaomba dua ya kuombea taifa na bunge.
Sasa hivi ni kipindi cha maswali na majibu na moja kwa moja wanaanza na ofisi ya waziri mkuu.
Karibuni kwa mjadala..
- Wadau, katika hali ya kushangaza, Mbunge wa NCCR MAGEUZI na UKAWA, FELIX MKOSAMALI amelilia wabunge kupewa askari wa kuwalinda. Amesema kuwa wabunge wamekuwa wakivamiwa na kupigwa hali ambayo isingejitokeza kama wangepewa ulinzi na serikali. Anashangaa serikali kutoa ulinzi kwa wakuu wa mikoa na wilaya ilhali wao wabunge wakiwa hawana walinzi licha ya kazi kubwa wanayofanya kuliko wakuu hao wa mikoa na wilaya.
- Mbunge wa Ileje ametoa taarifa bungeni leo kuwa ndege ya Malawi imeonekana ikiranda randa kwenye anga la Tanzania huko mpakani Ileje.
Kibona awaachie askari anga kazi yao badala ya kujitia utaalamu wa kuona ndege za kigeni!