Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 10 Juni, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 10 Juni, 2014

Baadhi ya waliotajwa kuwa mawaziri mizigo Ole wako Medeyeeeeeee & Huviza sasa wamepewa ulaji mpya bungeni leo.
1. OLE WAKO MEDEYEEEE (Mbunge,SADC)
2. HUVIZAA Mjumbe Bodi, Mwalimu Nyerere, Kigamboni)
Mule Mule watu wale wale.
Shikamoo CCM
 
Baadhi ya waliotajwa kuwa mawaziri mizigo Ole wako Medeyeeeeeee & Huviza saa wamepewa ulaji mpya bungeni leo.
1. OLE WAKO MEDEYEEEE (Mbunge,SADC)
2. HUVIZAA Mjumbe Bodi, Mwalimu Nyerere, Kigamboni)
Mule Mule watu wale wale.
Shikamoo CCM

Bavicha mna matatizo..

Uandishi wa kitoto na kilevi kilevi......
 
Baadhi ya waliotajwa kuwa mawaziri mizigo Ole wako Medeyeeeeeee & Huviza sasa wamepewa ulaji mpya bungeni leo.
1. OLE WAKO MEDEYEEEE (Mbunge,SADC)
2. HUVIZAA Mjumbe Bodi, Mwalimu Nyerere, Kigamboni)
Mule Mule watu wale wale.
Shikamoo CCM

Ole Medeye tunaomba utukumbuke mbunge wetu...

Barabara hazipitiki
Migogoro ya ardhi bado inatutesa,
 
usipost kama umebugia viroba. hiki kinyesi chako kinanuka.
kwa lugha ingine hueleweki,
ukitaka kupost kwanza soma mwenyewe kwanza kama inaleta maana.

Baadhi ya waliotajwa kuwa mawaziri mizigo Ole wako Medeyeeeeeee & Huviza sasa wamepewa ulaji mpya bungeni leo.
1. OLE WAKO MEDEYEEEE (Mbunge,SADC)
2. HUVIZAA Mjumbe Bodi, Mwalimu Nyerere, Kigamboni)
Mule Mule watu wale wale.
Shikamoo CCM
 
Baadhi ya waliotajwa kuwa mawaziri mizigo Ole wako Medeyeeeeeee & Huviza sasa wamepewa ulaji mpya bungeni leo.
1. OLE WAKO MEDEYEEEE (Mbunge,SADC)
2. HUVIZAA Mjumbe Bodi, Mwalimu Nyerere, Kigamboni)
Mule Mule watu wale wale.
Shikamoo CCM

hiki chama hivi sasa kimechoka hadi kinapukutika ! Nimekidharau sana , kama kule kwingine walikuwa mizigo huku ndiyo watakuwa vifurushi ?
 
Jamani naomba msaada! nimeangalia mida TBC 1 bungeni naona wanapiga kura kuchagua kamati moja ndani ya bunge! nimekuta mbunge wa Mwibara anajieleza kuomba kura! baada ya hapo zoezi la kupiga kura likaanza, ni kura ya siri! nimeshangaa sana na kujiuliza INA MAANA KURA YA WAZI ni kwenye mambo nyeti tu yenye maslahi kwa taifa wakati wa bunge maalum la katiba!? lakini kwenye haya ya kipuuzi wabunge wetu wanataka kura za siri?
 
Usikwepe hoja ya msingi kwa kukimbilia gharama kwani hao Ma DC na RC wanawalinda bure?Hoja hapa ni uwezekano wa wao kupewa ulinzi,
Kwanza wapunguze idadi ya Wabunge ndio wapewe bodyguards,hivi wabunge 600 na uchee wakipewa walinzi si ni polisi wa mikoa miwili ya Tanzania?wakipewa hao kesho utasikia na wa Bunge la katiba nao wanadai walinzi,ebu acheni hizo muwe mnaurumia kodi za wavuja jasho.Kwa kipato wanachopata wabunge wanao uwezo kabisa wa Kuhire body guards fro a private company tena bouncer kuzidi hata walinzi wa Diamond,ukasindikizwa hadi chooni ,acha kudai kila kitu serikali serikali.Hata hivyo Mkosamali atalindwa siku ngapi kwani 2015 Ubunge wake uko hatihati,Kibondo wanataka kumrudisha mmoja wa Wabunge wa zamani ambaye sasa hivi ni DC
 
Back
Top Bottom