Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 30 Septemba 2014- Upigaji Kura, Katiba Inayopendekezwa

nimejidhihirisha bila shaka kuwa MAKONDA NI Chabruma,

Hana akili analazimisha umaarufu mavi, umaarufu bila akili kichwani ni kazi bure kabisa.

Kama Membe ndio anadanganywa na sisimizi kama huyu nampa pole Lowasa ameshawaacha mbali sana ana timu makini yenye vichwa kama Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Kuna Mpumbau anaitwa Paulo Makondakta naona anatafuta umaarufu mavi bungeni kwa kuitaja JF tumbiri kabisa huyu.

Mkuu ninahakika 98% huyo ni Mkuu Chabruma member Humu.. NIMECHECK ACTIVITY ZAKE et al INAONYESHA NI YEYE, MAANA HUWEZI SEMA 2/3 IMEPATIKANA WAKATI KUNA KURA ZA SIRI.. SASA AJINDAE WHITE HAIR KASHAMJUA...
 
Mkuu, yule Jamaa alikuwa anaitwa Tariq Aziz. Nilikuwa nampenda sana. Ila kwa hapa tulipofikia mambo yapo shwari kabisa na akidi imepatikana

Wewe huna akili na hujui lolote sijui ilikuwaje mpaka ukapata nafasi ya viti maalum.

Propaganda mashine ya Saddam Hussein alikuwa Al Sahaf na siyo Tareq Aziz mkristo ambaye alikuwa makamu wa Rais.
 
Kura 5 za hapana kutoka Zanzibar zinatosha kabisa kukwamisha hiyo rasimu maana kama Cuf ni 67 plus kura 5 za hapana jumla ni 72. Hivyo basi wajumbe wa Zanzibar ni 210 na ukitoa 72 basi unabaki na 138 ambayo haitimizi akidi kwa upande wa Zanzibar..Kwa maana nyingine vifungu vya Jana na Leo vimegoma kupita...Asante ndugu yetu mcubic kwa update zako.
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia daftari liboreshwe kwa mara ya mwisho kuna vijana mamilioni walishafikisha umri wa kupiga kura na hawajapiga pamoja na kuwa ni haki yao kikatiba,nimejaribu kufuatilia kama kuna mahali katiba inatoa sababu lakini sijaona sasa nataka kukusanya saini na ninawaomba ukawa waniandalie bw peter kibatala ili alisimamie hili zoezi ili kusiwepo uchaguzi aina yoyote tanzania mpaka kila kijana mwnye haki ameingia katika daftario la kupiga kura.
Na kama ukawa watakataa kuniunga mkono katika hili nitapigana mwenyewe kama mtikila.
 
basi mkuu unafanana nae kabisa tariq azizi
cc Tuko

Mkuu usikubali kuwa kasuku huyo muda si mrefu katoka kuiponda JF ndani ya bunge kwamba habari zetu hatuna fact, sasa natumia fursa hii kukutaarifu kwamba Makonda amekudanganya, Propaganda mashine ya Saddam alikuwa ni Al Sahaf.

Sasa tuone sisi JF na yeye anayekata viuno bungeni nani mkweli, hapa hatuna vikaratasi tunavyopewa tusome na kukariri kama kasuku.
 
Last edited by a moderator:
Dogo anaongea pumba,mods piga BAN hi kirusi cha kuirudisha nyuma Tz.
Tupo mtaani na jaji na tume yote tunawasubiri hawa mbweha.
 
Kuanzia daftari liboreshwe kwa mara ya mwisho kuna vijana mamilioni walishafikisha umri wa kupiga kura na hawajapiga pamoja na kuwa ni haki yao kikatiba,nimejaribu kufuatilia kama kuna mahali katiba inatoa sababu lakini sijaona sasa nataka kukusanya saini na ninawaomba ukawa waniandalie bw peter kibatala ili alisimamie hili zoezi ili kusiwepo uchaguzi aina yoyote tanzania mpaka kila kijana mwnye haki ameingia katika daftario la kupiga kura.
Na kama ukawa watakataa kuniunga mkono katika hili nitapigana mwenyewe kama mtikila.

Wewe ni jembe.
 
Mkuu, hakuna mahala nimeandika kuwa hawatakuwepo. Nilichosema ni kwamba hawa wabunge walipiga kwa shinikizo na wapo tayari kubadili maamuzi yao baada ya mashauriano

Jana walipiga kura ya hapana, leo wamepiga kura ya hapana...hivi vitisho vimeanza lini na kuisha muda gani
 
Kura 5 za hapana kutoka Zanzibar zinatosha kabisa kukwamisha hiyo rasimu maana kama Cuf ni 67 plus kura 5 za hapana jumla ni 72. Hivyo basi wajumbe wa Zanzibar ni 210 na ukitoa 72 basi unabaki na 138 ambayo haitimizi akidi kwa upande wa Zanzibar..Kwa maana nyingine vifungu vya Jana na Leo vimegoma kupita...Asante ndugu yetu mcubic kwa update zako.

unajua Alinda ccm bado hawaaamini kilichotoke mpaka sasa. Maneno ya Kakobe yanatimia muda si mrefu. Lao hapa JF timu lumumba kimya kabisa.
 
Mkuu usikubali kuwa kasuku huyo muda si mrefu katoka kuiponda JF ndani ya bunge kwamba habari zetu hatuna fact, sasa natumia fursa hii kukutaarifu kwamba Makonda amekudanganya, Propaganda mashine ya Saddam alikuwa ni Al Sahaf.

Sasa tuone sisi JF na yeye anayekata viuno bungeni nani mkweli, hapa hatuna vikaratasi tunavyopewa tusome na kukariri kama kasuku.

aisee komredi nashukuru sana nimekasukishwa bila kujijua amyway jamaa imekula kwake Chabruma aka paulo. kumbe ni kigeugeu mchana yupo na white hair halafu jioni analala na sitta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, yule Jamaa alikuwa anaitwa Tariq Aziz. Nilikuwa nampenda sana. Ila kwa hapa tulipofikia mambo yapo shwari kabisa na akidi imepatikana

Unatuliza hali ya hewa sio...? Sisi wala hatupigi kura tunachohitaji ni taarifa tu zenye ukweli na bahati nzuri ukweli tunauona luningani
 
Wadau mie naomba kufahamishwa kidogo! Sasa hii kamati iliyoundwa itawafamuje wajumbe waliopiga kura za siri na kusema "Hapana" ili nao ijadiliane nao? Au hii ni kwa wale waliosema hapana kwa kura za wazi au Tuseme mwenyekiti ana uhakikaka hakuna kura ya "Hapana" katika wote waliopiga kura ya siri!!!

Simple logic ni kuwa za siri wanaweza kuzichakachua wakasema zilisema ndio. Lakini za wazi haiwezekani, ndio maana wanataka kujadiliana nao ili wabadiri kura zitimie wapitishe madudu yao wangese hao.
 
Wakuu mwenye kanun za bunge toka linaanza atutupie hapa maana isije ikawa ile kanuni ya kuto kukubaliana kifungu waunde kamati iliwekwa jana mara baada ya kuona mambo magumu
 
Watanzania kamwe si wajinga kuhusu ujinga unao endelea bungeni dodoma, ole wenu mnaporudi majimboni mtuambie nani kawatuma..ZAMBI, MWAKYEMBE, MULUGO(hamimu Augustino), mtafute mkoa wa kwenda na hizo kura za NDIYOO, Mbeya ni wazalendo halisi hatukuwatuma kushikwa kende zenu na chama, katiba ni ya watanzania.. katiba yetu tutaitaka upya na sio hio, mtafute majimbo ya kugombea 2015 MBEYA NO NO NOOO tutanyooka na ninyi mwanzo mwisho
 
wadau mie naomba kufahamishwa kidogo! Sasa hii kamati iliyoundwa itawafamuje wajumbe waliopiga kura za siri na kusema "hapana" ili nao ijadiliane nao? Au hii ni kwa wale waliosema hapana kwa kura za wazi au tuseme mwenyekiti ana uhakikaka hakuna kura ya "hapana" katika wote waliopiga kura ya siri!!!

...ni hivii.. Zile karatasi za kura tayari wao (kamati ya uchakachuaji) ilishaweka alama zikiwamo namba ambazo kila mwenye kuitwa jina lake tayari anajulikana kupitia namba ya form ya kura aliyopewa. So hata usipo jaza jina kama alivoeleza six jana kwa wale wa siri.. Inamaana ukimaliza kupiga kura yako kwa siri ikisha somwa na kuonekana umepiga ''no'' wao wanaangalia namba tu na kisha wanajua kuwa huyu aliye sema no ni ...arfi.. Au makonda n.k
 
Hivi jamani,nimeshuhudia watu wanafanya kampeni huku wanapiga kura!mtu anasimama kupiga kura ,kabla hajapiga kura anachombeza kwa kufanya kampeni!what is that?kweli akili ya 6 inazeeka vibaya,mambo anayofanya hata mtoto wa darsa la pili hawezi fanya!shameto 6,shame kwa wale wanaopitisha katiba ya kifisadi!
Congats kwa waliopiga kura ya hapana!!!!!!!!simameni ngangari na vitisho vinavyokuja kutoka kamati iliyoundwa na sita katika kuwabadilisha maamuzi yenu!!!!!!!simameni imara na misimamo ya kifisadi na kijambazi kama ya kina 6!

Aluta continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom