Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

Tbc tuwapeleke LHRC na LHRC Wawapeleke kwa Fattou Bensouda pale The Hague itatulia Wananyima HAKI Wananchi ya Kupata Habari.
 
Mkuu skype heshima yako!
mimi naomba kama unaweza uirushe clip ya Tundu lisu alipokuwa anaongea saa hizi!ni muhimu sana tuipate kwasababu kumbe tulikuwa tunadanganywa kuhusu muungano!

Mkuu SWEET GIRL, kwa bahati mbaya mimi siko Dodoma, hua natoa dondoo kwa hisani ya redio na tv inayoitwa "tbc", mwana jf nilye na uhakika kua yuko kule mjengoni ni Chabruma. baada ya maelezo hayo naomba sasa niungane na wewe, kwa ruhusa yako, nimkaribishe Chabruma aweze kutuletea audio clip ya Tundu Lissu.
 
Last edited by a moderator:
Data zilizoshushwa leo bungeni zimetudhirishia kuwa julius nyerere alikua bolizozo wa mambo ya kimataifa kwa kusain hati za muungano zisizotambulika kimataifa.huyu nae eti ni baba taifa mnnyssss.Huyuhuyu b.we.ge. ndio alichanganya mchanga wa muungano peke yake kuonyesha jinsi alivyo mbinafsi

Ni vyema tumeishi kama ndugu.

- Kuwa na heshima kidogo na Baba wa Taifa hili!!

Le Mutuz System
 
Kazi kweli kweli, dunia ya leo sio ya mwaka 47, tushapata tayari yote aliyo ongea lisu. Imekula kwao.
 
Hiyo ngoma ilichezwa na Nyerere peke yake? Kama Nyerere alikuwa kichwa nazi, bolizozo, huyo mwingine (Karume) alikuwa nani? Mwerevu? Au ni wewe ambaye ni kichwa nazi, bolizozo ambaye huwezi kuliona hilo?
 
Kwa usanii ambao Tbccm imetufanyia leo tunaomba magazeti ya kizalendo watuwekee hotuba yote ya ufafanuzi wa yale yaliyowasilishwa na Tundu Lissu. Kwa kweli kati ya siku ambayo Tbccm wameniumiza akili ni pamoja na leo. Hili shirika halifai kabisa kuitwa shirika la taifa, Bali lingefaa kuitwa shirika la utangazaji la ccm. Chonde chonde sana Magazeti tunaomba mtuwasilishie kilicho zungumzwa na Tundu Lisu akifanya ufafanuzi katika kamati namba nne. Nimewashangaa tbc sana kwani Kigwangala amewasilisha kwa mbwe mbwe nyingi sana lkn hawakukata Matangazo.
 
daah nimekereka sana na Tbc yani sina tusi la kuwanenea. Maan nahisi ban itanihusu sasa hivi.
 
Mimi kiuhalisia nafikiri hati zilikuwepo au Zipo na kilicho kwenye hati hizo ndio wanachokiogopa CCM na ndio maana Kalume aliuawa na Aboud Jumbe amezibwa mdomo kwa kuwa anajua ukweli halisi wa kilichokubaliwa. Ebu jiulize kwa nini sasa hivi hakuna ubadilishano wa Urais kwa vipindi kati ya Bara na Visiwani kama hapo awali?
 
- Gwiji la sheria lililopigwa na Zitto mahakamani unakumbuka ile jaji alisema nini? unataka nikukumbushe?

Le Mutuz System

Hivi hapa umeandika nini????
Muda mwingine mnajitoa ufahamu makusudi,,,,, hayo mahaba yako kwa ccm yatakupa mimba usiyotarajia
 
mmh hiyo historia yako nayo!! bila kulowana...??? basi inawezekana hata chabruma wetu kashavuka mpaka wa dodoma anakaribia singida dakika hii, basi uyu atavuka bonde la sekenke kuelekea shinyanga bila ya kulowana ma...hapana, bila ya kuvuja jasho!!

Nilikua na hasira sana ila hiyo kuvuka mtu ruvuma kiboko,aisee chabruma kapandwa na kichaa
 
Atawekwa kizuizini kwa kosa la UHAINI, ni ile kinga ya Bunge inamlinda Lissu

Huwajui ccm nini wewe



Mkuu huo uwezo Wa kufanya chochote wanao sn Lkn bora kitu gani Mkuu? Ukweli usisemwe au? Au huu Muungano una nini hasa amacho kinaleta shida mpk Wewe useme kwamba watamfunga?
 
Kwa hakika hata akipewa nafasi ya KUFUFUKA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, atajiua ndani ya wiki hizi mbili hasa iwapo na WOLFGANG DOURADO ANGELIFUFKA NA AKAFUNGUKA ANACHOKIJUA NA JOHN OKELLO ASEME WAZI NANI ALIFANYA NINI TAREHE 12 JANUARI 1964 NA KARUME AWE PIA HAI ILI ASIHUKUMIWE BILA KUSIKILIZWA .Nawashangaa wanaofikiria KUMWITA /KUMP JULIUS KAMBARAGE NYRERE UTAKATIFU IWAPO WANA AKILI ZA KIWANGO GANI, PHD ZA DIVINITY NA CHURCH LAW NOTWITHSTANDNG,OR BEING JUST SORT OF A FUTILITY!UKWELI UTAENDELEA KUTUWEKA HURU NA WATU WATAAMUA!
 
Hili swala sio lakufumbia macho inabidi hizi hila chafu zakuwanyima wananchi kuangalia kinachojiri bungeni zikomeshwe. Mwenye clip ya Tundu Lissu alivochana chana Muungano leo aturushie plz
 
Ni mhadhiri wa university of Dar es salaam,pia ni mwenyekiti wa Udasa...amelogwa na mjumbe wa bunge maalum aliyeingia kama mwakilishi wa waganga wa kienyeji ndio maana anaongea utumbo.

Teh teh teh tena ameshirikiana na profesa maji marefu kumroga
 
Back
Top Bottom