Mkuu skype heshima yako!
mimi naomba kama unaweza uirushe clip ya Tundu lisu alipokuwa anaongea saa hizi!ni muhimu sana tuipate kwasababu kumbe tulikuwa tunadanganywa kuhusu muungano!
Data zilizoshushwa leo bungeni zimetudhirishia kuwa julius nyerere alikua bolizozo wa mambo ya kimataifa kwa kusain hati za muungano zisizotambulika kimataifa.huyu nae eti ni baba taifa mnnyssss.Huyuhuyu b.we.ge. ndio alichanganya mchanga wa muungano peke yake kuonyesha jinsi alivyo mbinafsi
Ni vyema tumeishi kama ndugu.
Hata aliyekuwa na mashaka na muungano ataamini haupo na haujawahi kuwepo, ni ujanjaujanja tu. Poor TBCCM
- Gwiji la sheria lililopigwa na Zitto mahakamani unakumbuka ile jaji alisema nini? unataka nikukumbushe?
Le Mutuz System
mmh hiyo historia yako nayo!! bila kulowana...??? basi inawezekana hata chabruma wetu kashavuka mpaka wa dodoma anakaribia singida dakika hii, basi uyu atavuka bonde la sekenke kuelekea shinyanga bila ya kulowana ma...hapana, bila ya kuvuja jasho!!
Atawekwa kizuizini kwa kosa la UHAINI, ni ile kinga ya Bunge inamlinda Lissu
Huwajui ccm nini wewe
Na wewe ni mzee jifunze kuwa na hekima kama Wazee wenzako.....- Gwiji la sheria lililopigwa na Zitto mahakamani unakumbuka ile jaji alisema nini? unataka nikukumbushe?
Le Mutuz System
Ni mhadhiri wa university of Dar es salaam,pia ni mwenyekiti wa Udasa...amelogwa na mjumbe wa bunge maalum aliyeingia kama mwakilishi wa waganga wa kienyeji ndio maana anaongea utumbo.