Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

walozoea uongo hawawezi kujifunza ukweli. Hati za Muungano ni batili,
CCM wanafanya haya kwa faida ya nani?????
 
Mpaka redio wamekata matangazo
Hivi hatuwezi kupata hata soft written au hata audio
Manake hizo nondo hamna mahali pengine kabisa
 
hii sio television ya taifa ni majanga, kuona Tundu Lissu anawavua nguo wametoa, alafu kodi zetu ndo zinaendesha hiki kituo. bora kifungwe hakina umaana wowote wa kuwepo, wanakata halafu wanatuwekea Mr Dhaifu.
 
Hawa jamaa sijui TCRA/ Star Times wametunyanganya haki yetu ya msingi ya kupata taarifa ukweli na somo la Muungano toka kwa Mtaalamu Mahiri Mhesh Tundu Lisu. Badala yake wanatuwekea Hotuba ya JK.

Namini Uwanja si sawia (leveled)
 
View attachment 150839ZANZIBAR

''ZANZIBAR YENYE MAMLAKA KAMILI KWANZAA''

Kukata matangazo ni ishara ya kuficha ukweli wa ukoloni wa tanganyika dhidi ya zanzibar......twende kazi
 

Attachments

  • africa_map.gif
    africa_map.gif
    16.5 KB · Views: 228
Kuna kitu watanzania yunafichwa hapa jamani tuamkeni kabisaaa hii haikubaliki. Mwenye hii hotuba ya Tundu Lissu atutumie clip humu jamani
 
Naona Tweet ya Sarungi kuwa Sitta kasimamisha mpaka Tbc warudi hewani...
 
Jamani nilikuwa nafuatilia bunge la katiba asa TUNDU LISU akawa anawachachafya, alipofika kumtaja mwalimu NYERERE na KARUME jamaa wamekata matangazo ya moja kwa moja dah!? Aisee binafsi sina imani na hii katiba itakayokuja
 
Sitta: maelezo yaliyotolewa eti hali ya hewa imeharibika kasimamisha kikao
 
Back
Top Bottom