Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

Hii TBC si inaendeshwa na kodi zetu, kwa nini watufanyie haya? Kama ni tatizo la mitambo kwa nini itokee tu pale kwenye mawazo tofauti na 'waliowengi' CCM?

Na kwanini aweke hotuba ya kikwete sehemu anayopinga serikali 3?
 
Jamani watanzania inabidi tuamke kwanini wamekata wakati Tundu Lisu anahutubia??? Ni kwanini tunazibwa maskio kuskia upande mwingine???? Kwanini tunatakiwa tuskilize upande mmoja tuu??? Nimeskitika sana. Kama ni halali tuachwe tuskilizebpande zote jamani
 
Jamani TBC na Radio Uhuru acheni ufara . Raisi anamuogopa Tundu Lisu, CCM WOTE, kukata matangazo siyo vizuri speach yake tutaitafuta na tutaidownload kwa gharama yoyote
 
Kwa ili nafikiri TBC inaitajika watupe maelezo juu ya kukatika kwa matangazo ktk Radio na tv kwa wakati mmoja....
 
vibom alivyo toa lisuu hata ingrkuwa mimi ningezima mitambo maana ni aibu muungana ni fairy tale kwa wanzazibar huu ni wa kusadikika tu
 
Daah! Haki ya kikatiba inapokiukwa makusudi kuwamyima habari wananchi!

Ivi kuna siri gani Ktk Muungano? Mbona hili swala linaleta kizunguzungu sn?
 
Tbc hili taifa siku litakapoinuka ....kutakuwa na vitu vya ajabu sana sioni haja ya tbckutukatia matangazo
 
Wanaboa sana halafu wanatuwekea matangazo ya ajabu ajabu. pumbaf sana.
 
Kudadadadeki nilikuwa nasikiliza kupitia TBC taifa wamekata hotuba ya Lissu wameweka vi matangazo vyao.
 
Back
Top Bottom