Nchi yangu inaharibika polepole!!! nakumbuka zama zile ukitembelea shule za msingi na sekondari ulikuwa unaona UNIFORMITY miongoni mwa wanafunzi. miaka ikaenda wakaja vidudu mtu wakatugawa,wengine wanavaa sketi na blauzi, wengine sruali fupi,wengine suruali ndefu,wengine wanaziba sura zao wakiwa shuleni tu lakini wakiwa nyumbani kila kitu wanaonesha waziwazi!! kuna watu wa dini ya kadhi sijawaoa lakini ninawafahamu vilivyo kila kitu kwani huwa wanatuonesha bila sisi wenyewe kupenda!! shuleni wajificha nyumbani na mitaani wajiachia utupu!! huwa sielewi maana yao.
MAHAKAMA YA KADHI itambuliwe na mahakama za juu ili watakao kuwa hawajaridhika na uamuzi wa mahakama hizo wakate rufaa huko? unajua nini maana yake??? maana yake ni kuwa WANASHERIA SASA NI LAZIMA WAJUE DINI YA KIISLAMU MAANA SIKU MOJA AKIJA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA JUU NA KESI YA RUFANI IMEKUJA KWAKE ATAAMUA VIPI ILI HALI YEYE NI MAAMUMA WA DINI HIYO? LABDA IWE HIVI, MAHAKAMA ZA JUU ZOOTE ZIWE NA MAJAJI WAISLAMU TU BASI. Ndio ujio wa islamic state!!