Yanayojiri barabara ya Dar-Mtwara

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
SAFARI YA DAR -MTWARA
ENEO HILI WENYEJI WANALIPA BENDERA TATU AU MANZESE HATARI TUPU
Hii NDIO BARABARA YETU KUSINI HUKU SIJUI ITAISHA LINI?
 

Attachments

  • 050520121254.jpg
    050520121254.jpg
    167.1 KB · Views: 416
  • 050520121260.jpg
    050520121260.jpg
    201.8 KB · Views: 512
  • 050520121256.jpg
    050520121256.jpg
    234.1 KB · Views: 335
  • 050520121259.jpg
    050520121259.jpg
    189.3 KB · Views: 325
ni kwel kabisa mi pia napafaham tulishawa kuspend masaa manne kwa km 60 eneo hilo. haya mambo mengine tuachie ilani ya chama itatoa tu majibu
 
Raia wanashangaa shangaa shangaa tu
Jamaa wa maroli wanacheka
Eti wao wamezoea kulala njiani hivyo hawana presha taratibu kama kumsukuma mlevi
 
kwani zile milioni 700 za Bush, si kuna ka percent kalitengwa kwa ujenzi wa hii barabara,, nilidhani by now kungekuwa na angalau harufu ya lami huko,kumbe bado tope tupu!
 
Hapa kama sijakosea ni Muhoro, ili eneo nilisha wahi kukwama kwa muda wa masaa zaidi ya 4 mwaka 2007 na mwaka jana nilitoka huko bado hali ni ile ile.
 
Itaisha iwapo wananchi watakubali mabadiliko ya kweli kwa kuichagua CDM 2015... Otherwize waendelee kulalamika...
 
ila watu wa kusini kiasi fulani wana hitilafu vichwani.
gesi
mafuta
korosho
ni vitu ambavyo ni most wanted duniani. lakini ukiyaona makazi yao na hali ya maisha wanayoishi huwezi kuamini ndio wanaoikumbatia ccm kama TABORA
 
Ee bana eeh!!!!
Nitasafiri kwa teksi kweli toka Mtwara hadi Mwanza kwa hali hii?
*Ngoja nimpigie simu mzee Pombe Magufuli!
*

Kuna watu watakuijia saa hizi wee kuna watu hawataki huyu jamaa aguswe kabisa pamoja kuwa ni ka fisadi nguli!
 
ila watu wa kusini kiasi fulani wana hitilafu vichwani.
gesi
mafuta
korosho
ni vitu ambavyo ni most wanted duniani. lakini ukiyaona makazi yao na hali ya maisha wanayoishi huwezi kuamini ndio wanaoikumbatia ccm kama TABORA
Sio watu wa kusini mkuu, ni Watanzania kwa ujumla,
hujasikia bungeni wanajichekea 4% ya Mrahaba katika
madini wakati Botswana wanachukua 40%?
 
Ni eneo baya sana Mimi nilikuwa Mtwara kama wiki mbili zilizopita lakini hali eneo la km 60 ni korofi sana. Mabasi mazuri kama HAMANJU yanapoteza ubora wake kutokana na barabara hasa eneo hilo.
 
Mimi wala sioni Sababu ya CCM kupata kura maoneo hayo. Kweli nchiyetu inahitajika sala ya ukombozi
 
kwani zile milioni 700 za Bush, si kuna ka percent kalitengwa kwa ujenzi wa hii barabara,, nilidhani by now kungekuwa na angalau harufu ya lami huko,kumbe bado tope tupu!

Barabara hii inafadhiliwa na pesa za kodi zetu na si hela ya Bush.
Mkandarasi hapa ni Al Kharafi Contractors.
Kampuni hii ilipewa onyo nafikiri mwaka juzi na Mzee Pombe Magufuli, na walipewa miezi 5 kumaliza kazi hiyo.
Leo muda unayoyoma tu.
 
Jamani tatizo hapa sio Contractor bali Serikali kutolipa. Ukifuatilia kwa undani utayapata hayo. Kumbukeni ni juzi tu Magufuli kagomba kwa Contractor wa barabara Tegeta kuzuiwa mitambo yake bandarini kwa madai ya ushuru wakati contractor hajalipwa na Serikali. Magufuli alitoa onyo kisiasa. Na hali hiyo sio kwa barabara ya kusini tu hata sekta zingine. Wenye taarifa zaidi watatujuza.

Naamini ingelikuwa nchi za wenzetu serikali ingekubali kuwa imefilisika!
 
Ni kilometa 60 tu lakini kila haziishi utadhani zimehifadhiwa kwa ajili ya kumbukumbu(maonyesho)
 
Back
Top Bottom