Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 491
kumbuka kule ni kijijini.lakini pia population ya zbr ni ndogo sana.usisahau
Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.
Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.

kama kawaida yako hujui kuhesabu anayekufundisha naye hajui sasa ukweli utaujuaje mkuuNimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.
Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.
hawa ni cuf tu. Cdm hawana watu wenye vitambaa kichwani
Magwanda mkipata kiti cha Uzini, najifuta uanachama wa CCM na sitowatetea tena, lakini sijiungi na magwanda wala chama kingine chochote, naachana kabisa na unazi wa siasa za kijinga.
nahisi kuna siri ipo kwa nini mnakula viapo kiasi hicho mfano;Magwanda mkipata kiti cha Uzini, najifuta uanachama wa CCM na sitowatetea tena, lakini sijiungi na magwanda wala chama kingine chochote, naachana kabisa na unazi wa siasa za kijinga. Na ntaihama Tanzania kwa mara nyingine, maana itakuwa si nchi tena hii. Magwanda hawa magwanda? Unguja? Duhhhh! labda akiwa Zitto ndio Mwenyekiti.
Anza kufanya mazoezi ya kutembea uchi. Watu 28 si haba. Wewe ulisema hawatafika hata wawili.Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.
Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.
Wahame ti. Hawa watu wametawaliwa na sumu ya udini. Wahame!nahisi kuna siri ipo kwa nini mnakula viapo kiasi hicho mfano;
- ritz ameapa kutembea uchi na hatimaje kunywa sumu
- Rejeo sikumbuki vizuri ila kuna kiapo kala kama si kuhama nchi basi atajiunga na Magwanda
- wewe unaapa kuhama nchi baada ya kuachana na siasa
samahani unajua humu hajuani vizuri kwa majina halisi yawezekana upo tume ya uchaguzi na unajua mbunge/mwakilishi tayari ni nani. kwa nini mnakula viapo ni kututishia nini