Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,528
- 28,761
mara mafarasi kama jumong
mara mafarasi kama jumong
Hahahh benki za huku dom wanalinda kwa elfu 15Ma mimi nimeshangaa mjeda apewe laki nne na nusu kwa lipi wakati wanalinda bank wanapewa ten na wanagombea mixer kurogana..
Unaumwa wewe!!Wakimaliza mwaka watakuwa wamepatapata pesa.maana Kwa siku laki nne na nusu.zaidi Kodi zetu watazifaidi wao
Hiyo hela kwa mwaka mzima itatoka wapi!Wakimaliza mwaka watakuwa wamepatapata pesa.maana Kwa siku laki nne na nusu.zaidi Kodi zetu watazifaidi wao
Watakuwa wamefanikisha 100% kwa maslahi ya Nani sasa!? Mbona kuna mda mnatoa hoja zisizo na maana au kikubwa Uzi usogeeIkitokea hiyo kesho hayajafanyika, basi wao ndiyo watakuwa wamefanikisha hilo zoezi la kuandamana kwa 100%.
Kuna ndugu yangu kamanda kaniambia wanalipwa laki nne Kwa sababu ya KUiokoa nchi kwenye mapinduzi.makamanda wanasema wananchi muendelee hivyohivyo ili wao wawazuie waendele kupata pesaUnaumwa wewe!!