Yanayoendelea Taliban, Korea Kaskazini kuna uhuru

Yanayoendelea Taliban, Korea Kaskazini kuna uhuru

😂😂😂😂😂Wanafuata sheria zote.
Tatizo
vijana wanajazwa itikadi na kupewa mafunzo ya dini kwa namna isiyo sahihi mwishowe hao hao wengine inakua rahisi kuwatumbukiza katika ugaidi.
Hizo nchi nilizotaja ndio mfano hai wa nchi za kiislam zinavyotakiwa kuwa.
Nani apewe lawama hapa sasa na jukumu la kuweka watu kwenye mstari ni la nani?
 
Nani apewe lawama hapa sasa na jukumu la kuweka watu kwenye mstari ni la nani?
Kupewa lawama ni walimu wanaofundisha hizi dini.
Walimu wengi huwajaza watoto itikadi badala ya kuwaeleza sheria za imani husika.
Itikadi inakuja kummeza mtu anakuwa kipofu wa dini mwishowe anakengeuka hadi dini yenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Soma wamekataa ku entertain tu,bali wao hawachanganyi dini na mila.
Na wao ndio mfano bora wa islamic state.
Hizbollah na Houthi sio vikundi vya kupigania nchi.
Ukishataja hivyo vikundi tunahama uwanda wa siasa mazima.
Hizbollah kilikua chama cha siasa kilichoundwa miaka ya 1990s wala sio kikundi cha jihad,Houth ni chama cha siasa ambacho kiliamua kushika bunduki ili kumtoa madarakani Mansour,ni sawa na Chadema washike silaha kuitoa CCM madarakani.
Hizbollah sio wapiganaji wa kiislam,kafuatilie historia ya hizbollah kwanini ilianzishwa,hadi wakristo walikuwepo humo ndani.
Na vita zote anazopigana hizbollah ni za kisiasa.
Kama unabisha nitajie vita ya kidini walizopigana hao watu nasubiri hapa.
Nashukuru! Twende taratibu unisaidie common interests/ common goal kati ya Iran na Hezbollah ni nn? In other words kwa nn Hezbollah inakuwa linked na Iran? Halafu wote hawa wanataka kupigana na Israel sababu ya Hamas. Kwa nn sio Saudia wa Jordan wala Egypt?
 
Sharia kwa mujibu wa Taliban ila sio uislam.
Mbona Pakistan ni Islamic state na waliwahi kuwa na viongozi wanawake na hadi sasa wanachagua viongozi wanawake?
Mimi muislam ila Taliban siwakubali hata kidogo,wanatuletea taswira mbaya katika dini.
Kwa uelewa nilionao kote kwenye nchi ambazo ni Waislam ni wengi na ikatokea rais au kiongozi wa juu amekuwa mwanamke basi huwa kiongozi huyo mwanamke anaishia pabaya.

Umetaja Pakistan, nadhani unajua Bi. Butho walimuuua

Mfano mwingine ni Bangladesh ambako nako Bi. Sakina wamemfurusha madarakani na bado wanaitaka roho yake kwa maana wanataka anyongwe.

Sikumbuki nchi nyingine yenye Waislam wengi ambayo imepata kuongozwa na mwanamke.

Nimewahi kusoma kisa cha Bi. Aisha alivyoongoza mapambano dhidi ya Ali na kilichompata pale Bursa Ambapo baada ya Ali kushinda aliamrisha arudi Madina alikoenda kuishi hadi akafariki. (Battle of Camel)
 
Nashukuru! Twende taratibu unisaidie common interests/ common goal kati ya Iran na Hezbollah ni nn? In other words kwa nn Hezbollah inakuwa linked na Iran? Halafu wote hawa wanataka kupigana na Israel sababu ya Hamas. Kwa nn sio Saudia wa Jordan wala Egypt?
Doh bro huo ni mjadala mrefu sana.
Sio tu Hizbollah,vikundi vyote vya wapiganaji pale middle east baba yao ni Iran.
Anayewafadhili silaha na pesa ni Iran.
Madai ya Iran anataka kuzuia Western na US influence pale middle east.
Ndio maana target yake yeye ni kugusa maslahi wa Israel na wamarekani.
Na hata axis of resistence ilivyoanzishwa lengo lake lilikua kupigana dhidi ya maslahi ya USA na Israel pale mashariki ya kati.
 
Kupewa lawama ni walimu wanaofundisha hizi dini.
Walimu wengi huwajaza watoto itikadi badala ya kuwaeleza sheria za imani husika.
Itikadi inakuja kummeza mtu anakuwa kipofu wa dini mwishowe anakengeuka hadi dini yenyewe.
SAwa mkuu, jamii itazingatia
 
Doh bro huo ni mjadala mrefu sana.
Sio tu Hizbollah,vikundi vyote vya wapiganaji pale middle east baba yao ni Iran.
Anayewafadhili silaha na pesa ni Iran.
Madai ya Iran anataka kuzuia Western na US influence pale middle east.
Ndio maana target yake yeye ni kugusa maslahi wa Israel na wamarekani.
Na hata axis of resistence ilivyoanzishwa lengo lake lilikua kupigana dhidi ya maslahi ya USA na Israel pale mashariki ya kati.
Basi hapo middle East migogoro itakuwa endless! Kuna kitu kikubwa leo nimejifunza
 
Dini inaondoa akili kabisa. Leo kaja dada dukani kabeba mtoto mgongoni halafu kajifunikiza zile nguo hata hewa hazipitishi. Tukamwambia acha upumbavu mvunue mtoto utamuua kwa kukosa hewa. Maskini katoto kalikua kamechoka kwa kukosa hewa. Halafu hapo eti mtu anasema anafuata amri za Mungu.
Yaani mtoto anaishi nae siku zote na ana mbeba hivyo Leo tu ndo amuue ?

Hii mpya asee
 
Taleban kuna kanisa? Au unahalalisha kosa kwa kufanya kosa? Hizi dini za wazungu na waarabu zimeharibu kabisa fikra huru za binadamu.
Kanisa si wakristo mnasema ni kusanyiko? Mikusab
Nyiko inakosa sehemu?

JF sasa hivi tuna mkusanyiko huku, tunajifunza wasiyoonekana:

Kanisa la kusali na kuabudu uchi ndiyo maendeleo, au siyo?
Huna ****?

Mtu mzima yupi asiyejua ****?, kuamini Allah akiona **** za Wanadamu anawashwa au kuchanganyikiwa ni ujinga wa Hali ya Juu.

Mtu timamu lazima ajue jukumu la kucontrol matamanio yake ni lake mwenyewe na hakuna Sheria/Dini itaweza kubadili tabia ya mtu bila yeye kuamua
 
Huo ndio utaratibu hutakuta mtalebani analia eti single Maza ananitesa mwanaume ndio anatakiwa kuwa juu tuache ujinga kadri mnavowapa nguvu ndio jinsi tunavyoangamia angalia jinsi wacheza mpira wanavyolizwa na wanawake Mungu hakukosea wale ni rahisi sana kurubuniwa na shetani kisha dunia nzima ikaangamia talebani wako sawa tena zaidi ya sawa wanawake ni viumbe dhaifu mno. Uislam ndio njia sahihi ya wanawake kuishi duniani na si vinginevyo.

Emu tazama mfano hapa Tanzania kuna wanawake wanaandamana huko mitandaoni Kiboko ya wachawi arudishwe na upigaji wote waliokua wanafanyiwa kulipishwa mamilioni na anayeyalipa ni mwanaume utasumbuliwa weee mpaka utoe, hiki mnachokipinga na kukikejeli kwa talebani lakini wao wanalinda vijana wao na vizazi vijavyo mtakuja kuelewa kwa maumivu baadae
Katika hili mkuu nakuunga mkono. Huwa nawaelewa sana hao wakurungwa wa Taleban namna wanavyodili na wanawake, japo wamezidi kidogo. Na siwaungi mkono kwa mengine.

Kadri mwanamke anavyopata uhuru wa kujiachia ndivyo dunia inavyozidi kuharibika.

Siku nikiwa rais 2040 nitawatreat wanawake kwa at least nusu ya utamaduni wa Taleban, mtaona tutakavyoinjoi maisha.
 
Hao ndiyo wanatekeleza dini kwa 100%. Wewe unasemaje ni upuuzi?
Ni upuuzi ndio na inawezekana na dini yao sio dini ya Mungu. So hakuna mahali Muumba anakataza vitu wanavyosema wao.
 
Taleban kuna kanisa? Au unahalalisha kosa kwa kufanya kosa? Hizi dini za wazungu na waarabu zimeharibu kabisa fikra huru za binadamu.
Taleban ndiyo wapi huko?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Taleban ndiyo wapi huko?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga

We nani kakudanganya kumfunika mtoto hivyo anakosa hewa?
Je ile nguo haina upenyo wa kupitisha hewa??
Sayansi ya wapi hiyo ambayo unatudanganya hapa kuwa mtoto akifunikwa uso mzima anakosa hewa??
Unatuchukulia sasa mafala au sio?
Pang'ang'a maji wewe.
Punguza mihemlobmaama hukumuona mimi ndiye niliyemuona na baada ya kumshauri yeye mwenyewe alikubali maana hata hali ya mtoto aliiona . Sasa sijui unabishania nini. Au ndio kuipigania dini unabisha hata usichoijua au kukiona. Watu wa dini hamna kitu kichwani kabisa
 
Niliwahi kuwa na mtoto na mama yake alikua akimfunika mwili mzima hasa anapotoka ila hakuwahi kuwa na tatizo ninaongea nachokijua kenge wewe.
 
Back
Top Bottom