Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 11,066
- 15,938
Shida ni kobazi au shida ni taliban? Maana kama ni kobazi mbona zipo sehwmu nyingiChini ya sheria mpya, sauti za wanawake pia zinachukuliwa kuwa ni uovu zinaposikika hadharani. Sheria inasema, “wakati wowote mwanamke mtu mzima anapoondoka nyumbani kwake kwa jambo la lazima, analazimika kuficha sauti, uso na mwili wake.”
Hawa jamaa wavaa kobazi wangeshika dola Duniani kusingekalika