Yanayoendelea nchini: Nape atupa madongo

Nape alishawahi sema Lowassa in maiti haiwezi kuingia ikulu. Leo Lowassa amekuwa shujaa wa Nape..???
Wanasiasa hawatatuletea maendeleo zaidi ya chuki tuu. Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe
 
Kwa bahati mbaya sana Nape hakuyaona hayo alipokua katika meza ya karamu ya bwana. Alizurura nchi nzima akimtukana Lowasa leo limegeukia kwake anajifanya mpenda maendeleo. Hatari sana unafiki hautamuacha mtu
 
Siasa wanaiweza wanasiasa lakini pia hata wale wanaoamua kuingia kwenye siasa wakiwa na dhamira ya dhati wataiweza pia
 
Uuuuuuuwwiiii uuuuwwiii uuuuwwiii uuuuwwiii Uuuuuuuwwiiii
 
He, kumbe na huyu bwana wa kuvua magamba na bao la mkono bado yupo? Kuna maisha nje ya uhishimiwa wa kisiasa!
 
Mmmhhh!!, ndio maana mimi sizipendi siasa, Maana Rafiki yako leo kwenye siasa aweza kuwa Adui yako kesho, na Adui yako leo, aweza kuwa rafiki yako kesho.
 
Nijuacho kama bado angekuwa Mwenezi CCM au Waziri halafu akaandika Kiingereza cha namna hiyo ""Likes things"" ndo ungejua kuwa Uchaga ni ugweno siyo Machame!!!
Ila kwa kuwa sasa hivi kwetu ni ASALI MWAMBANI hilo hatulioni wala Hutalisikia
 
mbona post yenyewe ni ya 08 Jun 2017.
Mtoa mada itakuwa una vinasaba na Kazi Ndegui
 
Mmmhhh!!, ndio maana mimi sizipendi siasa, Maana Rafiki yako leo kwenye siasa aweza kuwa Adui yako kesho, na Adui yako leo, aweza kuwa rafiki yako kesho.
Nape haja poteza. Hivi uoga wa kuingiza siasa kwa watu ambao sio wanasiasa kama leo hii yote kuna watu wanaonyeshwa mimi niko hivi. Hata Ukanda ni sehemu ya kuhofia kwa hiyo tusubiri 2019 ndo tutaanza kutafutana humu ndani ndio maana na Mimi sitoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…