kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,826
mbona weusi tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwenyezi Mungu walaani hawa watu wafanyayo haya
mbona weusi tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwenyezi Mungu walaani hawa watu wafanyayo haya
wanauzwa ili wafanyeje ??Hao naskia wanakamatwaga baharini au wakiwa wameshavuka maji kuingia ulaya afu wanavushwa tena kuletwa Libya wanawekwa vizuizini ili warejeshwe kwenye nchi walizotokea. Sasa wakati wanaposubiri UN waje wawachukue ndo wanaendelea kufanyiwa shughuli kama hizo, ubakaji na mauaji na sasa hv wanauzwa kama nazi kuanzia dola 400 (Tsh 900,000) kwa mnada.
Acha yawakute. Wanakimbilia ulaya kulishajengwa badala wajenge makwao.
ha haUkitaka kuwaona hao watu wa ajabu kiasi gani ikifika SAA saba wote wanaenda kusali ...sasa hapo ndio utajua hii ni jamii ya aina gani
Mi sizungumzii wa islamu mi nazungumzia waarabu (laanatu llah)ha ha
mkuu mbona wapo waislamu safi hata humu jf wapo
hizi picha niliwaonyesha marafiki zangu waislam walishikwa na simanzi sana
UTU wa mwafrika unauzwa kama samaki
Iv nana anae nunua watu emu nieleweshwe hpaHao naskia wanakamatwaga baharini au wakiwa wameshavuka maji kuingia ulaya afu wanavushwa tena kuletwa Libya wanawekwa vizuizini ili warejeshwe kwenye nchi walizotokea. Sasa wakati wanaposubiri UN waje wawachukue ndo wanaendelea kufanyiwa shughuli kama hizo, ubakaji na mauaji na sasa hv wanauzwa kama nazi kuanzia dola 400 (Tsh 900,000) kwa mnada.
Acha yawakute. Wanakimbilia ulaya kulishajengwa badala wajenge makwao.