Yanayoendelea huko Libya

Yanayoendelea huko Libya

Hawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.
Ndo maana tulitawaliwa na tunatawaliwa waafrika hatupendani Sasa unafurahia shida za mwenzako wewe hujawahi ona vita wewe
 
Hili ni swala la kushughukiwa na Umoja wa Afrika pamoja na UN. Lakini kama viongozi wa Afrika wako kimya nani atajali? Mpaka wazungu watusemee? Aibu kwetu.
inashangaza mwenye kiti wa umoja wa afrika anakuna tu litumbo huko ofisini kwake ungeona rangi nyeupe kati ya hao waliofungwa kamba ungeona dunia inavyo simamisha mkia na kunyenyuamasikio huku viongozi wanafki wa kiafrika wakotoa matamko ya kulaani
 
Mugabe ndio pekee alikuwa anawakemea hawa ngozi nyeupe, Grace kasababisha tukose mtetezi
 
inashangaza mwenye kiti wa umoja wa afrika anakuna tu litumbo huko ofisini kwake ungeona rangi nyeupe kati ya hao waliofungwa kamba ungeona dunia inavyo simamisha mkia na kunyenyuamasikio huku viongozi wanafki wa kiafrika wakotoa matamko ya kulaani
Sisi waafrika tunatia sana huruma..mie nafikiri umaskini wa viongozi wetu matokeo yake wako bizy kufanya ufisadi na kujilimbikizia mali....
 
Hao naskia wanakamatwaga baharini au wakiwa wameshavuka maji kuingia ulaya afu wanavushwa tena kuletwa Libya wanawekwa vizuizini ili warejeshwe kwenye nchi walizotokea. Sasa wakati wanaposubiri UN waje wawachukue ndo wanaendelea kufanyiwa shughuli kama hizo, ubakaji na mauaji na sasa hv wanauzwa kama nazi kuanzia dola 400 (Tsh 900,000) kwa mnada.
Acha yawakute. Wanakimbilia ulaya kulishajengwa badala wajenge makwao.
yeah nimeikuta mahali wanauzwa $400-$500
 
Hili ni swala la kushughukiwa na Umoja wa Afrika pamoja na UN. Lakini kama viongozi wa Afrika wako kimya nani atajali? Mpaka wazungu watusemee? Aibu kwetu.
washughulikie kinachowafanya hao watu wakimbie nchi zao
 
Ndo maana tulitawaliwa na tunatawaliwa waafrika hatupendani Sasa unafurahia shida za mwenzako wewe hujawahi ona vita wewe
Senegal kuna vita ?Ivory coast kuna vita ?in short mataifa wanayotoka hawa vilaza hayana vita.
 
Hawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.
Usiongee hivyo!
Watu wanafika au kwenda mala fulani kutafuta maisha.
 
Laaana ya muammar gadafi haita waacha salama
 
amini nakuambieni hakuna binadamu katili duniani kama mwarabu.. kama aliweza kutuuza kipindi kile kama nyanya sembuse sasa hivi..
Na mzungu ni rahimu sana kama aliweza kukuchukueni kutoka makweni hadi Caribian island, ulaya na marekani.
Fungua macho na kaangalie series za maigizo inaiyokwenda kwa jina "THE ROOT" itafaham vyema unachokisema.
 
MKIINGIA KWENYE APP YA YOUTUBE AFUY MKA SEARCH LIBYA TODAT YOTEEEE YANAKUJAAA ASEEEEEE WANAUZWA KAMA NJUGU SOKONI PALE KARIAKOO AFUUUUU DAG ASEEEEEEE

NAKUMBUKA TULISOMA KWENYE HISTORIA SHULE HIZOOO MIAKA ILEEEE MHHHHHH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom