Mkuu unafurahi waafrika wenzako kuuzwa kama samaki?Lahana ya gadafi hiyo ndo wakome
mkuu huko ni libya(kaskazini mwa afrika) na sio ulayaHawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.
sembuse sasa hivi..Hao naskia wanakamatwaga baharini au wakiwa wameshavuka maji kuingia ulaya afu wanavushwa tena kuletwa Libya wanawekwa vizuizini ili warejeshwe kwenye nchi walizotokea. Sasa wakati wanaposubiri UN waje wawachukue ndo wanaendelea kufanyiwa shughuli kama hizo, ubakaji na mauaji na sasa hv wanauzwa kama nazi kuanzia dola 400 (Tsh 900,000) kwa mnada.mkuu huko ni libya(kaskazini mwa afrika) na sio ulaya
Hao wengi nigeriansMh,mbona wamakonde hao?
watu wanatafuta maisha popote pale duniani! wanaume ameumbwa mateso!Hawa hawana akili,kinachowafanya waende huko ni ulaya,hivi ulaya ni paradiso ?Acha wauzwe tu labda litakuwa fundisho kwa wengine wanaotaka kutumia njia hizo hizo kwenda ulaya.