Yanayoendelea Gaza yanauhusiano ya Mauaji ya Gen Z Tanzania?

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,570
Reaction score
16,017
GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.

2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao huwa wanafanya?” na swali la “Who are you?” hayakuwa maneno ya kawaida. Ilikuwa lugha ya kujitetea, si ya kuponya. Ilionekana kama kuhalalisha kilichotokea kwa kuangalia mabaya ya wengine, badala ya kutazama maumivu ya Watanzania.

3️⃣
Baada ya tafakari, picha kubwa inaanza kujitokeza: je, mauaji ya MO29 yalikuwa zaidi ya siasa za ndani? Je, yalikuwa malipizi ya kisaikolojia na kisiasa dhidi ya shinikizo na lawama kutoka EU/USA/Israel kuhusu msimamo wa Tanzania?

4️⃣
Rais alionekana kushangazwa na kile alichokiona kama unafiki wa wazungu:
👉 Wanamshutumu Tanzania kwa kuua Wakristo na Waislamu
👉 Wakati wao (kupitia Israel) wanaua Waislamu Gaza
Hapa hoja haikuwa haki, bali “ninyi pia mnafanya”.

5️⃣
Hii ni hatari. Kwa sababu inapobadilishwa hoja ya uwajibikaji wa ndani kuwa kulipiza kisasi cha kimataifa, taifa linaingia kwenye siasa za proxy revenge — wananchi wanakuwa chombo cha kupeleka ujumbe kwa mataifa mengine.

6️⃣
Ukifikia hatua ambapo damu ya vijana wako inakuwa sehemu ya ujumbe wa kisiasa wa kimataifa, basi dira ya uongozi inakuwa imepotea. Taifa halitawaliwi tena kwa misingi ya haki, bali kwa hasira na visasi.

7️⃣
Swali kubwa:
➡️ Taifa litaponaje kama majeraha ya ndani yanatumika kujibu maumivu ya nje?
➡️ Amani itarudije kama maisha ya raia yanageuzwa kuwa lugha ya diplomasia ya hasira?

8️⃣
Kuponya taifa kunahitaji:
✔️ Kukiri makosa
✔️ Kuwajibika
✔️ Kutenganisha siasa za kimataifa na uhai wa raia
✔️ Kuthamini maisha ya Mtanzania kuliko hoja za “na wao wanafanya”

9️⃣
Bila hilo, tutabaki taifa lililokwama katikati ya migogoro ya wengine — tukilipiza visasi ambavyo hatukuanza, na kulipa gharama ambayo hatupaswi kulipa.

🔚 Mwisho
Taifa haliwezi kujengwa juu ya maiti za vijana wake, hata kama dunia nzima imekosea.
 
Gentleman,
Amani na Utulivu wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile,
haramia yeytote yule ajitie kimbelembele kwenye hilo uone kilichomtoa kanga manyoya.

hakuna muda wa kuintertain nonsense kwenye kuhatarisha amani ya taifa letu:NoGodNo:
 
Bosi Tlaatlaah nakufahamu vizuri sana in person wewe ni sehemu ya mfumo unaoendesha nchi. Hivyo ni ngumu sana kujua namna ambavyo wananchi wanataabika na kesi za kubambika na kuuawa ovyo, haujui jinsi ambavyo haki inapokwa.

Nikupe shule tu kidogo.

Hakuna aliyekuwa anamchukia Dkt Samia na watanzania ilitokea walimpenda sana Dkt Samia.

Tatizo lilianza pale ambapo alianza kwenda kinyume na matarajio ya wananchi (kumbuka uongozi unatoka kwa wananchi). Kila aliyekuwa ana sema neno kuhusu uongozi alitekwa au kuuawa. Ndiyo maana Gwajima akajitokeza ila kanisa likafungiwa.

Kosa la Samia ni kushindwa kukemea tu! Yaani kukosa kauli ya kimamlaka kusema mimi nina 4R sitaki watu wangu watekwe na kuuawa.

Ila yeye akachukulia kila anayempinga basi ni mkristo anastahili kutekwa au kuuawa (ndiyo maana akafanya jaribio la kumuua Dkt Kitima).

Kwa ufupi Dkt Samia yupo kwenye malipizi ya kuua wakristo ili alipize vifo vya watu wa Gaza.

Inawezekana wewe unaona sawa ila iko siku utakuja kuelewa.
 
Kuuawa watanzania=kuuawa Kwa wapalestina?

Mauaji Tanzania= ujumbe Kwa nchi za wazungu ulaya Magharibi kuhusu mauaji ya Gaza?
 
Gentleman,
Amani na Utulivu wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile,
haramia yeytote yule ajitie kimbelembele kwenye hilo uone kilichomtoa kanga manyoya.

hakuna muda wa kuintertain nonsense kwenye kuhatarisha amani ya taifa letu:NoGodNo:
Tumekusikia madelu. Tutakukamua hayo maji. Okey?
 
Ni utetezi wa ajabu sana kama kweli wana justify mauaji ya 29 Ocotober kwa kulinganisha na Gaza au popote pale.

Ikumbukwe Gaza wanauwawa na taifa jingine ila mfanano ungekua kama Israel ndo iamue kupiga risasi raia wake 10,000!! unadhani pangekalika? Hata hao wanajeshi wasingefuata orders.

Huwezi kuua watu wako mwenyewe it's better iwe vita na taifa jingine tutaelewa sio uue unaowaongoza. It's beyond limits
 
GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.

2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao huwa wanafanya?” na swali la “Who are you?” hayakuwa maneno ya kawaida. Ilikuwa lugha ya kujitetea, si ya kuponya. Ilionekana kama kuhalalisha kilichotokea kwa kuangalia mabaya ya wengine, badala ya kutazama maumivu ya Watanzania.

3️⃣
Baada ya tafakari, picha kubwa inaanza kujitokeza: je, mauaji ya MO29 yalikuwa zaidi ya siasa za ndani? Je, yalikuwa malipizi ya kisaikolojia na kisiasa dhidi ya shinikizo na lawama kutoka EU/USA/Israel kuhusu msimamo wa Tanzania?

4️⃣
Rais alionekana kushangazwa na kile alichokiona kama unafiki wa wazungu:
👉 Wanamshutumu Tanzania kwa kuua Wakristo na Waislamu
👉 Wakati wao (kupitia Israel) wanaua Waislamu Gaza
Hapa hoja haikuwa haki, bali “ninyi pia mnafanya”.

5️⃣
Hii ni hatari. Kwa sababu inapobadilishwa hoja ya uwajibikaji wa ndani kuwa kulipiza kisasi cha kimataifa, taifa linaingia kwenye siasa za proxy revenge — wananchi wanakuwa chombo cha kupeleka ujumbe kwa mataifa mengine.

6️⃣
Ukifikia hatua ambapo damu ya vijana wako inakuwa sehemu ya ujumbe wa kisiasa wa kimataifa, basi dira ya uongozi inakuwa imepotea. Taifa halitawaliwi tena kwa misingi ya haki, bali kwa hasira na visasi.

7️⃣
Swali kubwa:
➡️ Taifa litaponaje kama majeraha ya ndani yanatumika kujibu maumivu ya nje?
➡️ Amani itarudije kama maisha ya raia yanageuzwa kuwa lugha ya diplomasia ya hasira?

8️⃣
Kuponya taifa kunahitaji:
✔️ Kukiri makosa
✔️ Kuwajibika
✔️ Kutenganisha siasa za kimataifa na uhai wa raia
✔️ Kuthamini maisha ya Mtanzania kuliko hoja za “na wao wanafanya”

9️⃣
Bila hilo, tutabaki taifa lililokwama katikati ya migogoro ya wengine — tukilipiza visasi ambavyo hatukuanza, na kulipa gharama ambayo hatupaswi kulipa.

🔚 Mwisho
Taifa haliwezi kujengwa juu ya maiti za vijana wake, hata kama dunia nzima imekosea.
Wewe ndio unAleta mambo ya gaza, Rais hakuongelea hilo. Acha uchonganishi
 
Yawezekana walikuwa wanalipa kisasi ya mauaji ya ndugu zetu gaza si unajua ndugu wa muislam ni muislam mwezetu
 
Naamini hata CCM wenyewe wakishamaliza kumtetea mama wakatulia majumbani kwao huwa wanashindwa kuelewa what happened on October 29
Maccm hayajali hilo wewe yenyewe yanataka hongo na teuzi za upendeleo tu
 
Bosi Tlaatlaah nakufahamu vizuri sana in person wewe ni sehemu ya mfumo unaoendesha nchi. Hivyo ni ngumu sana kujua namna ambavyo wananchi wanataabika na kesi za kubambika na kuuawa ovyo, haujui jinsi ambavyo haki inapokwa.

Nikupe shule tu kidogo.

Hakuna aliyekuwa anamchukia Dkt Samia na watanzania ilitokea walimpenda sana Dkt Samia.

Tatizo lilianza pale ambapo alianza kwenda kinyume na matarajio ya wananchi (kumbuka uongozi unatoka kwa wananchi). Kila aliyekuwa ana sema neno kuhusu uongozi alitekwa au kuuawa. Ndiyo maana Gwajima akajitokeza ila kanisa likafungiwa.

Kosa la Samia ni kushindwa kukemea tu! Yaani kukosa kauli ya kimamlaka kusema mimi nina 4R sitaki watu wangu watekwe na kuuawa.

Ila yeye akachukulia kila anayempinga basi ni mkristo anastahili kutekwa au kuuawa (ndiyo maana akafanya jaribio la kumuua Dkt Kitima).

Kwa ufupi Dkt Samia yupo kwenye malipizi ya kuua wakristo ili alipize vifo vya watu wa Gaza.

Inawezekana wewe unaona sawa ila iko siku utakuja kuelewa.
My friend Mudawote,
tafadhali sana mimi sio mfumo, na kwakweli sifahamiki sana kama unavyowapotosha wadua wa JF,
Mimi ni Tlaatlaah, mTanzania kama walivyo wengine. Siendeshi nchi bali nami ni mwananchi kama wananchi wengine. huenda cha ziada nilicho nacho ni kiongozi wa wananchi, muhadhiri, mkulima, mfugaji na Apostle humu nchini.

Jambo la pili,
ni vizuri ukafahamu kwamba,
Hakuna haki ya mTanzania hata moja iliyopokwa na serikali sikivu ya CCM na,
hakuna haki wala uhuru wa kuleta fujo, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi duniani, haki na uhuru huo haupo na Tanzania hatutaruhusu hiyo nonsense.
Kudai haki kuna utaratibu wake gentleman.

Jambo la tatu,
Dr. SAMIA SULUHU HASSAN, rais na kipenzi cha waTanzania wote anapendwa kila kona ya taifa hili na ataendelea kupendwa zaidi kwasasababu anaongoza taifa katika misingi ya kisheria, haki, uwazi, uhuru na uwajibikaji.
Na hatikisiki na hakuna wa kumtikisa hadi atakapohitimisha ngwe yake ya pili2030, upende usipende.

Mwisho,
hizo drama na porojo za wazinifu waliojificha madhabahuni kama Kitima ni nonsense, hazina maana yoyote, but ile jambo ya muhimu zaidi ni vizuri ukatambua kwamba amani na utulivu wa waTanzania wote utalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.

Kama huamini jitie kimbelembele kujaribu kuvuruga amani kwa kubebwa ufala wa kifikra na hao hidden activist :NoGodNo:
 
GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.

2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao huwa wanafanya?” na swali la “Who are you?” hayakuwa maneno ya kawaida. Ilikuwa lugha ya kujitetea, si ya kuponya. Ilionekana kama kuhalalisha kilichotokea kwa kuangalia mabaya ya wengine, badala ya kutazama maumivu ya Watanzania.

3️⃣
Baada ya tafakari, picha kubwa inaanza kujitokeza: je, mauaji ya MO29 yalikuwa zaidi ya siasa za ndani? Je, yalikuwa malipizi ya kisaikolojia na kisiasa dhidi ya shinikizo na lawama kutoka EU/USA/Israel kuhusu msimamo wa Tanzania?

4️⃣
Rais alionekana kushangazwa na kile alichokiona kama unafiki wa wazungu:
👉 Wanamshutumu Tanzania kwa kuua Wakristo na Waislamu
👉 Wakati wao (kupitia Israel) wanaua Waislamu Gaza
Hapa hoja haikuwa haki, bali “ninyi pia mnafanya”.

5️⃣
Hii ni hatari. Kwa sababu inapobadilishwa hoja ya uwajibikaji wa ndani kuwa kulipiza kisasi cha kimataifa, taifa linaingia kwenye siasa za proxy revenge — wananchi wanakuwa chombo cha kupeleka ujumbe kwa mataifa mengine.

6️⃣
Ukifikia hatua ambapo damu ya vijana wako inakuwa sehemu ya ujumbe wa kisiasa wa kimataifa, basi dira ya uongozi inakuwa imepotea. Taifa halitawaliwi tena kwa misingi ya haki, bali kwa hasira na visasi.

7️⃣
Swali kubwa:
➡️ Taifa litaponaje kama majeraha ya ndani yanatumika kujibu maumivu ya nje?
➡️ Amani itarudije kama maisha ya raia yanageuzwa kuwa lugha ya diplomasia ya hasira?

8️⃣
Kuponya taifa kunahitaji:
✔️ Kukiri makosa
✔️ Kuwajibika
✔️ Kutenganisha siasa za kimataifa na uhai wa raia
✔️ Kuthamini maisha ya Mtanzania kuliko hoja za “na wao wanafanya”

9️⃣
Bila hilo, tutabaki taifa lililokwama katikati ya migogoro ya wengine — tukilipiza visasi ambavyo hatukuanza, na kulipa gharama ambayo hatupaswi kulipa.

🔚 Mwisho
Taifa haliwezi kujengwa juu ya maiti za vijana wake, hata kama dunia nzima imekosea.
1.Nakubaliana kuwa swala la Gaza haliJustify mauaji ya dhuluma popote pale.

2. Kuna Mchambuzi mmoja Marekani aliwahi kusema kosa la Gaza litazaa maafa baadae kwani wengine wataweza kuvamia nchi yeyote na kufanya mauaji ya kinyama kwa kuona Netanyahu na Israel hawakufanywa chochote walikuwa wanaua live na akabiri miaka ijayo anaweza kutokea Netanyahu mwingine sehemu nyingine akafanya kama aliyofanya bila woga.

3. Nakubaliana kuwa Marekani na umoja wa ulaya hawana moral authority ya kuwafundisha wengine wasifanye mauji na kuwapa sanctions wakati wao walimlinda Netanyahu na kumuacha anafanya unyama na ukandamizaji wa raia kwa muda mrefu na wao wameshiriki katika mauji na machafuko ya nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom