Nianze tahadhari hii fupi kwa misemo ya kifalsafa ili kuwapa mwaliko wa kufikiri kizazi cha “hi inakuwaje”, “ni aje”, “wari”, “ugari”, “lisaa limoja”, “Arsenal imepata matokeo” (yepi, chanya au hasi?) “Pacome na Chama wamepata majeruhi” (badala ya majeraha). Kizazi kinachozungumza lugha...