Yanahitajika Mafunzo ya UDJ kwa kijana

Yanahitajika Mafunzo ya UDJ kwa kijana

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,782
Reaction score
16,936
Ninaomba kama kuna mdau anaweza kuni connect na DJ yoyote anayetoa mafunzo ya UDJ hasa kwa mashine hizi za kisasa pioneer Serato etc.

Nina kijana naona mzuka wake ni kuwa DJ, ndoto yake ni kuwa club DJ, Radio DJ au VJ. Ana idea ya muziki wa aina zote.

Lengo ni baada ya kuiva nitanunulia muziki sawa na consultantion kutoka kwa watalaam wa miziki mizuri ya shughuli ili yy awe pia msimamizi.

Kijana yupo Dar so nitapendelea mwalimu awe pia wa Dar na nitaomba mafunzo haya yawe practical zaidi.

Mwalimu awe expert siyo nae anajifunza scratching, cuts etc.

Karb pia pm kama utaona inafaa uje na course duration, location, timetable ya mafunzo na gharama kwa mafunzo yt including field work arrangement.
 
Back
Top Bottom