Yanafurahisha Lakini yanalenga kujua nini?

Yanafurahisha Lakini yanalenga kujua nini?

Yaani akishafuturu tu, Heaven on earth huyooooo kwa Ngalikihinja. Wanagegedana mpaka muda wa daku unapokaribia, Heaven on earth ndo unarudi kwao kusubiri siku inayofuata and ze seko continues mpaka baada ya kumaliza kufunga wakati utaratibu wa day time unapojirudia.... chezeya sisi weye, hatuachi kugegeda kisa mfungo wakati mfungo wenyewe unatoa muda wa kujirusha (kuanzia saa 1 usiku hadi karibu na saa 10 alfajiri).


yaani umenifanya nicheke hasa hapo mwishoni,mie nilikuwa sijuagi hata....

nimebaki hoi sijui hata niandike nini.......
 
yaani umenifanya nicheke hasa hapo mwishoni,mie nilikuwa sijuagi hata....

nimebaki hoi sijui hata niandike nini.......

DUUUUUUUUHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yaani wewe kila kitu hujui?????????????????????
 
Preta na moto2012
Preta : Hellooo beibe! moto2012 : Hellow waifu! Preta : Upo wapi Beibe? moto2012 : Nipo kazini dia! Preta : Unafanya nin hanny? (Anajua kabisa mimi ni hotelia) moto2012 : Nahudumia mteja mpenz Preta : Mteja gani? (Butwaa, atamjua kweli hata nikimtejia?) moto2012 : mdada mmoja hivi, Preta : mdada? ameagiza nini (Kigugumizi na mshangao) moto2012 : Kau kau na juisi

Basi maswali maswali yasiyo na kichwa wala miguu, kisa-amejuinga na cheka bombastic!!!!

wadada mna mambo, na sometimes kero, mpaka wanaume tunaonekana mapunguani
 
Last edited by a moderator:
hayo yote ni maswali ya mitego swali la mwisho baby leo unajua nataka kwenda saloon kusuka? na pia nataka nikafanye shooping kidogo naomba uniongezee hela kidogo
 
HAHAAA jamani mkunyati ndo sijui kila kitu!!!!!!

hivi ile siku ulinipa hata maana yake kweli!!!!!!!

Sikukupa maana kwakuwa hukuniuliza mimi

Ni kweli kutokuju vitu viwili sio kutokujua vyote

Lakini ni ishara kuwa kuna mengine hujui!!!!!!
 
Sikukupa maana kwakuwa hukuniuliza mimi

Ni kweli kutokuju vitu viwili sio kutokujua vyote

Lakini ni ishara kuwa kuna mengine hujui!!!!!!

Nilikuuliza kwa mara ya pili baada ya ku ni question kama ni kweli sijui!!!!!!

lakin bado hukunijibu!!!!!!!!

am not a master of each and everything ni kweli kuna mengine pia siyajui!!!!!!!!
 
Nilikuuliza kwa mara ya pili baada ya ku ni question kama ni kweli sijui!!!!!!

lakin bado hukunijibu!!!!!!!!

am not a master of each and everything ni kweli kuna mengine pia siyajui!!!!!!!!

Inaonekana unasahau sana

Sio mimi uliekuwa unaniuliza

Mimi nilikushangaa kwa kutokujua mkunyati ni nini

Asante kwa kukubali kuwa kuna mengine hujui!
 
Inaonekana unasahau sana

Sio mimi uliekuwa unaniuliza

Mimi nilikushangaa kwa kutokujua mkunyati ni nini

Asante kwa kukubali kuwa kuna mengine hujui!

ile siku mazungumzo yetu ilikuwa hivi
Mrembo,

Hujui hiyo makitu?????
nikakujib hivi
Eiyer hata sijui sasa nawaza hiki nikifikiriacho ndio alichomaanisha!!!!!!
ukaniambia hivi
Kwani mrembo unafikiria nini?????????
nikakwambia hivi
naomba uniambie tu kama ni hiki nikifikiriacho nitakwambia

hukunijibu tena,ni kweli sijui kila kila kitu lakin kila siku najifunza mambo mapya
 
Back
Top Bottom