Yanafurahisha Lakini yanalenga kujua nini?

Yanafurahisha Lakini yanalenga kujua nini?

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Imekuwa jambo la kawaida kwa wachumba au wapenzi walio mbali kijiografia kukuza upendo wao kuwasiliana kupitia njia kadha wa kadha, kwa nchi yetu asilimia kubwa ni simu.
...
Yapo maswali ambayo wawili hawa hupenda kuulizana na upande mmoja kutaka kujua.
Naomba wataalam wa mambo haya au waliowahi kusikia au kupitia uzoefu huu watujuze wengine Je maswali haya mafupi yana maana inayoonekana au kuna jambo la ziada.MF wa maswali ni kama ifuatavyo
..
Uko wapi?
Bebi umekula nini?
Mbona hukuniaga?
Sweet uko na nani?
..
Bebi unapenda nguo gani?
Jaman mpenzi,nambie unapenda rangi gani.
Huwa unanyoa kipara au unapunguza nywele?
Mguu wako upoje? Mpana au mdogo!
Chakula gani kitamu kwako?
..
Na mengineyo unayoweza kuyaongeza,,Je yana maana ilofichika au ?
Ikumbukwe hutumika sana kwa wawili ambao hawajawahi kuonana.
^^
 
Ninavyofikiri maswali mengi ambayo huwa tunaulizana ni kutaka kujua mwenzio ni mtu wa aina gani.
JE ni mtu wa viwanja kwa sana?
Hobies zake ni zipi?
Kujua mitazamo yake kwenye jambo husika.
Physical apperance (kwa wale ambao hamjaonana)
Mwingine asipoulizwaulizwa anaona amesahaulika (hapendwi)
Wakati mwingine kupitia maswali unaweza kujua mambo ambayo mwenzako hakuwahi kukwambia.
Hivyo sioni tatizo kuulizana maswali. Ili muweze kufahamiana zaidi maswali yanahusika sana.
 
Napata picha sasa,, madameA na hilo la viatu au kunyoa nywele linataka nini?
Sorry kwa udadisi
^^
 
Last edited by a moderator:

well said madam,unapo uliza au kuulizwa ina maana upande wa pili unataka kujua the type of a person you are..eg unapenda kinywaji/chakula gani,this means siku mkikutana akuandalie your best dish,au akupeleke kwenye mgahawa ambao wanaandaa such type of dish...sioni ubaya kuuliza jamani
 
^^
imekuwa jambo la kawaida kwa wachumba au wapenzi walio mbali kijiografia kukuza upendo wao kuwasiliana kupitia njia kadha wa kadha, kwa nchi yetu asilimia kubwa ni simu.
...
Yapo maswali ambayo wawili hawa hupenda kuulizana na upande mmoja kutaka kujua.
Naomba wataalam wa mambo haya au waliowahi kusikia au kupitia uzoefu huu watujuze wengine je maswali haya mafupi yana maana inayoonekana au kuna jambo la ziada.mf wa maswali ni kama ifuatavyo
..
Uko wapi?
Bebi umekula nini?
Mbona hukuniaga?
Sweet uko na nani?
..
Bebi unapenda nguo gani?
Jaman mpenzi,nambie unapenda rangi gani.
Huwa unanyoa kipara au unapunguza nywele?
Mguu wako upoje? Mpana au mdogo!
Chakula gani kitamu kwako?
..
Na mengineyo unayoweza kuyaongeza,,je yana maana ilofichika au ?
Ikumbukwe hutumika sana kwa wawili ambao hawajawahi kuonana.
^^

aya ya nne ni kwa wale ambao hawafahamiani ,,,yani wapenzi wa facebook,,na namba za simu za kubahatisha,,akipokea demu unaanza kumtongoza,,akipokea men unamwambia wrong number............mchezo wa sekondari kipindi simu zimeingia ,,,,,,,aya ya tatu just upendo wenye wivu ndani yake.....uko na nani,,,,nibusuu basi...nakupenda (jibu ni nakupenda pia) ole usijibu hivo ni mada nyingine,,,mbona unajibu ''me too'' ntaelewaje?au uko na mtu? Na mengine mengi(other wise cheki aina tatu za upendo,,,agape love....pericana love siju na kitu gani ..............utaelewa hayo maswali ni kwa nini
 
^^
Napata picha sasa,, madameA na hilo la viatu au kunyoa nywele linataka nini?
Sorry kwa udadisi
^^

Anyway siwezi kujua exactly kwa nn amekuuliza kuhusu viatu au kunyoa nywele (atakuwa hajui vitu gani vya msingi vya kuuliza). Issue ya kunyoa nywele labda alikuwa anavuta taswira kwamba utakuwa unafananaje. Labda una kiwaraza, au huwa unafuga manywele, au una nywele fupi.

Kwangu mimi habari ya nywele, kiatu, rangi I dont care. Ngoja nikwambia vitu ambavyo ningekuwa mimi ningeuliza na sababu zake:
Una umri gani? (Lazima unizidi umri ili nipate nafasi ya kudeka), Dini yako (incase tunakubaliana isije ikaleta shida mbele), Elimu (poyoyo simtaki-lazima uwe umepandisha vidato, kusije kukatokea mgongano wa mawazo), Unafanya kazi gani (kama umeajiliwa/umejiajiri- najiridhisha unaweza kuni-handle), height (tusitofautiane sana ikawa kama baba na mtoto), rangi (sio muhimu kwa mwanaume), sura (sio muhimu kwa mwanaume), unaishi wapi (unajitegemea? au unalelewa nyumbani?), mawasiliano (kitu muhimu sana angalau mara 1 kwa siku - Hii naipenda ili nijue ratiba zako zikoje, je huwa unakesha BAR? etc sio lazima uniambie unafanya nn), kama unasafiri let's mbali sio vibaya ukiniambia.
 
^^
Imekuwa jambo la kawaida kwa wachumba au wapenzi walio mbali kijiografia kukuza upendo wao kuwasiliana kupitia njia kadha wa kadha, kwa nchi yetu asilimia kubwa ni simu.
...
Yapo maswali ambayo wawili hawa hupenda kuulizana na upande mmoja kutaka kujua.
Naomba wataalam wa mambo haya au waliowahi kusikia au kupitia uzoefu huu watujuze wengine Je maswali haya mafupi yana maana inayoonekana au kuna jambo la ziada.MF wa maswali ni kama ifuatavyo
..
Uko wapi?
Bebi umekula nini?
Mbona hukuniaga?
Sweet uko na nani?
..
Bebi unapenda nguo gani?
Jaman mpenzi,nambie unapenda rangi gani.
Huwa unanyoa kipara au unapunguza nywele?
Mguu wako upoje? Mpana au mdogo!
Chakula gani kitamu kwako?
..
Na mengineyo unayoweza kuyaongeza,,Je yana maana ilofichika au ?
Ikumbukwe hutumika sana kwa wawili ambao hawajawahi kuonana.
^^

Khaa! mapenz ni free style, ile kupumbazana-pumbazana ndio mwake-mwao! Embu jiulize usipoongelea pumba kama hizo utaongea nae nini at least mtumie dakika kumi? Labda kuwe na ishu ya msingi inayohitaji maelezo mengi!
Nna rafiki yng mpenz wake yuko mbali, anaongea naye kwa sim kama maopereta vile, akitaka kujamba hadi aombe ruhusa!!!!
 
^^ Imekuwa jambo la kawaida kwa wachumba au wapenzi walio mbali kijiografia kukuza upendo wao kuwasiliana kupitia njia kadha wa kadha, kwa nchi yetu asilimia kubwa ni simu. ... Yapo maswali ambayo wawili hawa hupenda kuulizana na upande mmoja kutaka kujua. Naomba wataalam wa mambo haya au waliowahi kusikia au kupitia uzoefu huu watujuze wengine Je maswali haya mafupi yana maana inayoonekana au kuna jambo la ziada.MF wa maswali ni kama ifuatavyo .. Uko wapi? Bebi umekula nini? Mbona hukuniaga? Sweet uko na nani? .. Bebi unapenda nguo gani? Jaman mpenzi,nambie unapenda rangi gani. Huwa unanyoa kipara au unapunguza nywele? Mguu wako upoje? Mpana au mdogo! Chakula gani kitamu kwako? .. Na mengineyo unayoweza kuyaongeza,,Je yana maana ilofichika au ? Ikumbukwe hutumika sana kwa wawili ambao hawajawahi kuonana. ^^
Binafsi hayo maswali huwa sipendi kuulizwa mara kwa mara huwa naona ni uzushi tu.
 
siujui mwenzio ndio huwa unakuwaje kwani!!!!!!!!!
Yaani akishafuturu tu, Heaven on earth huyooooo kwa Ngalikihinja. Wanagegedana mpaka muda wa daku unapokaribia, Heaven on earth ndo unarudi kwao kusubiri siku inayofuata and ze seko continues mpaka baada ya kumaliza kufunga wakati utaratibu wa day time unapojirudia.... chezeya sisi weye, hatuachi kugegeda kisa mfungo wakati mfungo wenyewe unatoa muda wa kujirusha (kuanzia saa 1 usiku hadi karibu na saa 10 alfajiri).

Back
Top Bottom