yana mwisho...inatosha.... alaaaaah

yana mwisho...inatosha.... alaaaaah

simbilisi

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
792
Reaction score
227
300281_350995358353899_299647610_n.jpg
 
Duh...!! mfalme anavyochanja mbuga kujiokoa...!! hao wadudu mi huwa naombea bora nikutane na simba anaweza kuonea aibu lakini sio hao ng'ombe ambao mmasai mwenyewe alishindwa kuwafuga
 
Tuje kwenye uhalisia wa Chadema na ccm. Nani ni nani!
 
Ilitokea udogoni, jamaa ananichokoza sana mpaka nyumbani nikaona iswe tabu nikalianzisha.
Ngumi ya kwanza jino la mbele hana, tokea siku hiyo heshima.
 
msg: Together, as one, we can choose to be prey or predators. It's all in our minds.
(Pamoja, kwa umoja, tunaweza kuchagua kuwa waamuzi au waamuliwa wa majaliwa yetu. Inategemea jinsi tunavyojitambua tu).
 
kuna video moja ya Battle in kluger...dah Simba wanaandamishwa kama huyu shost anavyoandamishwa...
Nyati bana ni shujaa wa kweli.
Huwa haburuzwi na Lunyasi
 
Ilitokea udogoni, jamaa ananichokoza sana mpaka nyumbani nikaona iswe tabu nikalianzisha.
Ngumi ya kwanza jino la mbele hana, tokea siku hiyo heshima.
Hata mm nilinyayaswa sana huko Nzega miaka hiyo katika Shule ya St Bernadeta (Kitongo) nilionewa nilinyanyaswa iko siku na mm nikavimba Jino la mbele tu kwisha kabisa na ikawa heshima. Mpaka leo sijapigana tena wala kudharauliwa

300281_350995358353899_299647610_n.jpg
 
Hii picha wakiiona CCM na vyombo kandamizi vyake nafikiri wataelewa nini maana ya nguvu ya Umma.

Wasipoelewa wawaulize Polisi wa Kawe jana kiliwapata nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom